Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

Hapo sijajua nikienda msibani nitajua mengi sana mana yote haya ni yale nimepata Huku dsm na ajali imetokea Kilimanjaro. Huyo rafiki yake inabidi baada ya amzishi nikae naye sehemu nimpe Bia kadhaa huku nikimdadisi
 
Rafiki yake MMH SINA neno, JARIBU kwanza kufatilia, Hilo tukio maeneo hayo je ni KAWAIDA, HUKO WALIKUA WAMEENDA KUFANYA Nini? Hii ni mara ya ngapi wanasafiri PAMOJA?,
 
wakati akiwa na boxer yake kuukuu alishawahi kwenda nayo kama mara tatu hivi
 
Sasa unatuambia sisi ili tufanyeje au tukusaidie nini?

Hizi taarifa ilibidi uwape polisi na sio kutupa sisi badala yake umefanya vice versa.
 
Sasa unatuambia sisi ili tufanyeje au tukusaidie nini?

Hizi taarifa ilibidi uwape polisi na sio kutupa sisi badala yake umefanya vice versa.
Mkuu shida ni nini Hasa? Unafikiri Hospitali walimtib bila PF3 kutoka Polisi? Kama ukiona uzi hauna Impact yoyote kwako unaupita tu maana sio lazima kila uzi uchangie. Nyuzi zako zipo nyingu kule jukwaa lile la ma-celeb
 
Pole sana Mkuu, Mwenyenzi Mungu awafariji nyote
 
Mchango umetoa sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…