kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
ππππKwani mjusi wenyew umeanza safari mda gani mbn mwatutishaTreni ya SGR ya umeme Leo iko Kwenye Majaribio
Devota Minja tujuze kama Mjusi ameshaingia Mji Kasoro Bahari Morogoro
Ni hilo tu π
tangu asubuhi dakika 90 bado?Treni ya SGR ya umeme Leo iko Kwenye Majaribio
Devota Minja tujuze kama Mjusi ameshaingia Mji Kasoro Bahari Morogoro
Ni hilo tu π
Inaelekea Iko extra-comfortable, hadi watu wanalala!Tunakaribia π€£
Babu amelala Watu8
Toka saa ngapi vile?Tunakaribia π€£
Babu amelala Watu8
ππ€£π€£π€£π€£π€£daaah nimecheka sanatangu asubuhi dakika 90 bado?
Ahsante mkuuTunakaribia π€£
Babu amelala Watu8
Baada ya Majaribio ndio tutajua inatumia muda gani Dar - Morotangu asubuhi dakika 90 bado?
Wewe hukwenda shule naona. Haya mambo hayana kubahatisha... speed is predetermined by manufacturer and if built on a standard scale, there is no room for tukijaribu ndio tutajua inatumia muda gani...Baada ya Majaribio ndio tutajua inatumia muda gani Dar - Moro
Punguza kiherehere ππ
Saa 4 π€£Toka saa ngapi vile?
Duh..aibu sana hii nchi hii.Saa 4 π€£
walisema saa nne itaondoka. Vile ni vyuma chakavu can not perform to the expected outcome of 90 min from dar to moro!ππ€£π€£π€£π€£π€£daaah nimecheka sana
Kwani imefika wapi? Mbona hatupati taarifa kamili?πππ€£π€£π€£