Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

binafsi moro wangeweka 25,000 anayepanda apande asiyepanda asubiri basi. dodoma wangeweka 50,000 anayepanda apande, asiyepanda aondoke hapa, n.k
Wacha kutufokea serikali haifanyi biashara inatoa huduma. Ilitakiwa waweke bei ya chini zaidi ya nauli ya mabasi.
 
binafsi moro wangeweka 25,000 anayepanda apande asiyepanda asubiri basi. dodoma wangeweka 50,000 anayepanda apande, asiyepanda aondoke hapa, n.k
Teah sababu option nyengine zipo,huwezi lalamika service mpya na ya uhakika kua na bei juu. Imagine kama treni inatumia masaa 3 kamili kufika moro,pia nafasi kubwa,pia kuna vyoo na mgahawa kwanini usilipie zaidi.
 
Wamesema Behewa moja ni Power Bank

EMU huwa inatoa umeme kwenye power line, then inausambaza kwenye injini kwa ajili ya kufua umeme unaotosha kuendesha mzigo...
 
SGR inalishwa na gridi ya taifa kutoka sources zote, ukiona haina umeme ujue Tanzania nzima haina umeme...Kidatu, Mtera, Ubungo, Kinyerezi I&II, Hale, Nyumba ya Mungu, JNHP, Tegeta n.k...
Hale na New Pangani kitu ni hicho hicho?
 
Watu wana roho ngumu sana, yaani ufanyiwe majaribio na hawa hawa Watz ambao kuna mwaka Daktari alipasua kichwa badala ya mguu πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Trials za umeme, communication lines, njia yenyewe, EMU kutembea yenyewe bila mabehewa zimeshafanywa sana mzee...

Hii ya leo ilikuwa ni real time simulation ya safari kama ikiwa na abiria kwani kulikuwa na wahudumu ndani ya treni, vituoni na huduma zote zinazotakiwa kufanikisha safari n.k...
 
Hapo mama yako anaingiaje? Yaani unazungumzia jambo la kitaifa unamhusisha mama yako kuwa anahujumiwa? Huo si wendawazimu. Kama nyie mnaona ni ghali tutapanda sisi. Rais amekubaliana na hii bei. Wewe na mama yako mjipange.
 
Teah sababu option nyengine zipo,huwezi lalamika service mpya na ya uhakika kua na bei juu. Imagine kama treni inatumia masaa 3 kamili kufika moro,pia nafasi kubwa,pia kuna vyoo na mgahawa kwanini usilipie zaidi.
na kuna option ya kupanda mabasi ukitaka, wacha waweke bei reasonable ili mradi ujiendeshe sio waweke bei ya kichovu halafu washindwe kulipa mishahara na maboresho unakuta mradi unakuwa kama mwendokasi yenu hiyo. tujifunze kwa nchi za wenzetu. hawatakiwi kutoa msaada na hiyo haitakiwi kuwa huduma, ni biashara huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…