Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

Kama ni kwa majaribio sawa ,ila kama ni hii ukitoka Dar kufika morogoro tu inaachwa mbali na Sauli inayotoka Mbezi tena kwenye foleni ya malori
 
Sawa msemaji !
 
Sisi Bado sana. Nilipanda Moja China ya Umeme inatembea 600KM per Hour.ndani na nje tofauti na hii nnayoiona hapa Kwetu hizi zetu ni mitumba tena chakavu😁
 

Attachments

  • AE3D95E4-359F-4E74-91DB-8F68930E7421.jpeg
    29.4 KB · Views: 4
  • 203E90D0-BC98-4313-8B61-1449A3C34EB6.jpeg
    8.2 KB · Views: 4
  • D3019E82-E9E0-4EA0-A365-BCF392601323.jpeg
    31.9 KB · Views: 5
  • E01EE78D-1682-4D05-B0FE-C361035731B7.jpeg
    10.4 KB · Views: 4
  • A6219D19-63A7-4088-8673-CD214494DD79.jpeg
    7.3 KB · Views: 6
  • ED01EE49-FEFD-478A-9F13-9A082F25D868.jpeg
    7.8 KB · Views: 4
  • E3FD96FE-DBCB-4400-8FDD-9EDC7CEA779D.png
    95.1 KB · Views: 5
Kichwa ndiyo nini? Sema*engine"
Mambo mengine mnalazimisha bure
Mada ni ya kiswahili mkuu, "engine" ni nini kwenye mada ya kiswahili mkuu? kama "kichwa" tunalazimisha, tupe neno la kiswahili la "engine" au "locomotive engine" tujifunze mkuu wengine usafiri wa garimoshi tumeutumia sana na itasaidia kuacha kulazimisha neno

Soma comment za watu wengi wametumia neno kichwa maana yake ndio neno linalotumika na kukubaklika, NADHANI WEWE NDIO UNALAZIMISHA neno la kigeni "engine" litumika wakati watu wamezoea kutumia "kichwa" na ndio imekubalika hiyo mkuu hakuna namna.

Check hapo chini youtube Mkurugenzi na mwandishi ametumia neno "KICHWA"

Alafu lugha huwa inatokea wala hailazimishwi na maneno mengi tu huzuka mwisho wa siku jamii husika hukubaliana

SOMA HAPO CHINI HUENDA WEWE UMEBAHATIKA KUSOMA NJE YA NCHI AMBAO LUGHA ZAO ZINA MISAMIATI YA KUTOSHA (HAKUNA MANENO MAPYA)

 
Kwa umeme huu wa kuunga unga mabasi yatakua yanaenda kuokota abiria huko maporini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Halafu hii ya wenzentu kitu inateleza tu. Lkn hiyo yetu kochokocho nyingi hatari.

Jiwe mpuunzi sana, alitaka sifa kwa kujenga vitu vya viwango vya chini.
-hostels zina expansion joint
-daraja la juu akaita flyover
-kiberenge anaita treni ya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…