Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

nikifikiria kuwa wengi wa waliocomment ndiyo sample ya idadi ya watanzania napata picha watanzania wengi wanaakili duni.
Hii inaweza kuwa ni jambo zuri kwa wasiasa wao hupenda kuongoza vilaza.
 
mwalimu wako alipatashida sana
Ahahaha wewe mwalimu wako alipata raha sana maana alikukuta unajua kila kitu, kiasi kwamba hukuwa na sababu ya kwenda shule, lakini ukaamua kupoteza muda wako na ada zako shuleni kujifunza mambo unayoyajua tayari
 
Sisi Bado sana. Nilipanda Moja China ya Umeme inatembea 600KM per Hour.ndani na nje tofauti na hii nnayoiona hapa Kwetu hizi zetu ni mitumba tena chakavu[emoji16]
Acha uongo hakuna treni inayobeba abiria itembeayo hiyo speed
Mwenyewe nishatumia sana Guangzhou to Yiwu
Treni ilikuwa yaenda 303max
 
China si 350 km/hr ndio highest speed ?

Na ata iyo 160 km/hr sio mbaya,
 
Kuwa mpole mkuu,ile yenyewe ya kunywa chai kikombe kikifika nusu uko Morogoro inakuja...
 
Mlishaambiwa hicho ni kichwa cha majaribio...mbona wagumu kuelewa?
Navoelewa kicha kinakuaga moto zaidi kuliko kikibeba mabehewa sasa hapo wakikiekea mikia c ndo kitajvuta kama jongoo
 
View attachment 2279660wengine tutashangilia mpaka tuone hiyo imefika nchini. Hawachelewi kutusurprise na vitu vya ajabu.
Hizi ndio ilikuwa zije ila kwa mujibu wa kale kadada kasemaji ka TRC anadai jamaa walifeli ku fullfil contract kwahio wakaamua kumpa order mtu mwengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Kwahio kama kupigwa zoezi litakuwa limeanzia hapo kwenye kumpa tender mtu mwengine kwahio tegemeeni suprise tu.

Mwenye mradi wake alituchagulia hio inayoonekana kwenye picha ila alipokufa tu wahuni wamehamisha magoli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila hii ya kwetu ina support mpaka speeds za 250km/h
 
Heheehe wenyewe walete treni tu ya kawaida tutaishi nayo tu, kikubwa mabehewa yawe mengi tu na watenge mawili, moja la mifugo jingine mazao..... Umeme wenyewe uko wapi? Speed tunawahi wapi? No hurry in Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…