Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.

Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena yafunguweni vizuri.
Mchwa sio mdudu mzuri. Anakula chini kisha anaibuka juu unapo muona amesha maliza kazi.

Ndoto yangu inasema mchwaa ako chini ya mihimili ya meza kitu kitawashituwa nakujuwa meza imeshaliwa siku pakiwekwa kitu kizito meza ita anguka.

Wazee andaeni watu wenye brain ktk maeneo nyeti msiangalie mtoto wa nani andaeni vichwa tunaenda kuangushiwa kitu kizito kama hatutojindaa jirani wameshaujuwa mchezo na wanaucheza hapa kwenye ardhi yetu.

Narudia tena andaeni watu narudia tena andaeni watu. Narudia tena andaeni watu fanyeni alichokifanya hayati baba wa Taifa ndugu zangu Hayati alitafuta vichwa akavipeleka shule akavipa nafasi ndugu zangu huko duniani hawaangali mtoto wa nani wanatafuta brain unapo ona Bush Baba na mtoto wanakuwa Marais yaani sio mchezo huyu mzee alikuwa na brain na mtoto pia na wote wamenusurika kufa vitani.

Ndugu zangu hii mchezo inataka kushika kasi baba anamuingiza mtoto na mtoto anakuwa brain ndogo anabebwa nataka kuwaambia italiacha taifa likicheka chooni mtu kama Lissu niwakumpa high position asaidie taifa hata kama ana ubaya gani maana kile kichwa sio chakawaida.

Nimtoa mfano. Taasisi za vyama ziwe na uhuru kuwafanya wenye uwezo na brain kupata urais jamani leo tumpate Rais kama Prof Muhongo hivi tutakuwa wapi as a nation.

Waziri mkuu awe Mzee Prof Issa Shivji italiwaje hili taifa waziri wa ulinzi tunamchukua jasusi ndani ya jeshi ndio waziri wa ulinzi sasa chezeni na gender wenzenu wanajenga nchi imara gender wameweka pembeni na wanajuwa siri nyuma ya gender. Mataifa makubwa na yenye chumi imara haya gender take from me. Na ukitaka proof angalia China, Marekani, Brazil, France, Singapore nk

Tunafanya masihara ila tuwe makini. Nimemaliza
Umeandika ujinga mtupu,shivji na muhongo hamna kitu
 
Rubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema
Kuna jina la rais umekutana nalo kwenye thread yangu? Au vipi?
 
Kazi ya TISS sio kuipangia nchi nani awe nani. Kufanya hivyo ni kukiuka mandate yake. Umetoa mfano wa watu ambao hakuna aliyewazuia kugombea uongozi. Lissu na Muhungo, wote, wameshajaribu kuwania kiti cha Rais hawakufanikiwa. Professor Shivji yeye hajawahi kugombea hata udiwani. Ulitaka TISS wafanye nini?

Hata huko Marekani, Bush Sr na Bush Jr hawakuwekwa na CIA. Juhudi zao ndizo zilizowawezesha kukipata kiti cha Rais wa Marekani. After all, in a democratic country, haiwezekani kumuandaa mtu fulani kushika kiti cha Rais au PM. Ndiyo maana hata outsiders kama Obama na Trump walifanikiwa kukipata kiti cha Rais wa Marekani.
 
Rubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema

Hivi watu wengine mna ugonjwa gani? Nadhani tukuache tu, kwasababu hata mwaka tu hujui una miezi mingapi.
 
Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.

Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena yafunguweni vizuri.
Mchwa sio mdudu mzuri. Anakula chini kisha anaibuka juu unapo muona amesha maliza kazi.

Ndoto yangu inasema mchwaa ako chini ya mihimili ya meza kitu kitawashituwa nakujuwa meza imeshaliwa siku pakiwekwa kitu kizito meza ita anguka.

Wazee andaeni watu wenye brain ktk maeneo nyeti msiangalie mtoto wa nani andaeni vichwa tunaenda kuangushiwa kitu kizito kama hatutojindaa jirani wameshaujuwa mchezo na wanaucheza hapa kwenye ardhi yetu.

Narudia tena andaeni watu narudia tena andaeni watu. Narudia tena andaeni watu fanyeni alichokifanya hayati baba wa Taifa ndugu zangu Hayati alitafuta vichwa akavipeleka shule akavipa nafasi ndugu zangu huko duniani hawaangali mtoto wa nani wanatafuta brain unapo ona Bush Baba na mtoto wanakuwa Marais yaani sio mchezo huyu mzee alikuwa na brain na mtoto pia na wote wamenusurika kufa vitani.

Ndugu zangu hii mchezo inataka kushika kasi baba anamuingiza mtoto na mtoto anakuwa brain ndogo anabebwa nataka kuwaambia italiacha taifa likicheka chooni mtu kama Lissu niwakumpa high position asaidie taifa hata kama ana ubaya gani maana kile kichwa sio chakawaida.

Nimtoa mfano. Taasisi za vyama ziwe na uhuru kuwafanya wenye uwezo na brain kupata urais jamani leo tumpate Rais kama Prof Muhongo hivi tutakuwa wapi as a nation.

Waziri mkuu awe Mzee Prof Issa Shivji italiwaje hili taifa waziri wa ulinzi tunamchukua jasusi ndani ya jeshi ndio waziri wa ulinzi sasa chezeni na gender wenzenu wanajenga nchi imara gender wameweka pembeni na wanajuwa siri nyuma ya gender. Mataifa makubwa na yenye chumi imara haya gender take from me. Na ukitaka proof angalia China, Marekani, Brazil, France, Singapore nk

Tunafanya masihara ila tuwe makini. Nimemaliza
Umeshachelewa mkuu. Tunakujua wewe huwa unajifanya kuandika herufi kama darasa la saba B lakini wewe ni msomi mkubwa na uko deep sana.
 
Rubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema
Bado Mama Samia namkubali sana
 
Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.

Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena yafunguweni vizuri.
Mchwa sio mdudu mzuri. Anakula chini kisha anaibuka juu unapo muona amesha maliza kazi.

Ndoto yangu inasema mchwaa ako chini ya mihimili ya meza kitu kitawashituwa nakujuwa meza imeshaliwa siku pakiwekwa kitu kizito meza ita anguka.

Wazee andaeni watu wenye brain ktk maeneo nyeti msiangalie mtoto wa nani andaeni vichwa tunaenda kuangushiwa kitu kizito kama hatutojindaa jirani wameshaujuwa mchezo na wanaucheza hapa kwenye ardhi yetu.

Narudia tena andaeni watu narudia tena andaeni watu. Narudia tena andaeni watu fanyeni alichokifanya hayati baba wa Taifa ndugu zangu Hayati alitafuta vichwa akavipeleka shule akavipa nafasi ndugu zangu huko duniani hawaangali mtoto wa nani wanatafuta brain unapo ona Bush Baba na mtoto wanakuwa Marais yaani sio mchezo huyu mzee alikuwa na brain na mtoto pia na wote wamenusurika kufa vitani.

Ndugu zangu hii mchezo inataka kushika kasi baba anamuingiza mtoto na mtoto anakuwa brain ndogo anabebwa nataka kuwaambia italiacha taifa likicheka chooni mtu kama Lissu niwakumpa high position asaidie taifa hata kama ana ubaya gani maana kile kichwa sio chakawaida.

Nimtoa mfano. Taasisi za vyama ziwe na uhuru kuwafanya wenye uwezo na brain kupata urais jamani leo tumpate Rais kama Prof Muhongo hivi tutakuwa wapi as a nation.

Waziri mkuu awe Mzee Prof Issa Shivji italiwaje hili taifa waziri wa ulinzi tunamchukua jasusi ndani ya jeshi ndio waziri wa ulinzi sasa chezeni na gender wenzenu wanajenga nchi imara gender wameweka pembeni na wanajuwa siri nyuma ya gender. Mataifa makubwa na yenye chumi imara haya gender take from me. Na ukitaka proof angalia China, Marekani, Brazil, France, Singapore nk

Tunafanya masihara ila tuwe makini. Nimemaliza
Majasusi wa kulamba asali tu ndio wapo. Taifa halina maono, viongozi dhaifu full kupapasa.
 
Jasusi aliyebobea anaweka chekecheo Ololosokwani anatenganisha mbaazi na mahage ikishindikana atupia MCHANGA
 
Jamaa mmoja aliteuliwa kuwa mkuu wa TPDC kelele zikapigwa akafutwa fasta
 
Uko sahihi na Nadhani linaeleweka, ila NAWAZA hao Majasusi wengi ni makada + akili ndogo

Lkn ni muhimu kufanyia kazi ushauri wako...maana uhakika Mchwa watafanya na wanafanya yao...

Akili kubwa sana hii
Suluhu ya idara hii isiwe chini ya waziri anayeteuliwa na Rais aliyepo madarakani.Msiwalaumu waliomo kwenye hiyo idara.Tujilaumu na Bunge letu kuchanganya wanataaluma wa idara nyeti na makada CHAWA NA WAPAMBE hadi Bosi ananuna.
 
Sina uelewa mpana lakini kuna mambo mengi ya kujiuliza kwa nini?
Moja ream paper tunauziwa Tshs 25000 wakati kabla ya awamu ya sita ilikuwa 12,000.
Mafuta ya kupikia,mikoa mingi wanalima alizeti ,za kuahuzwa nje ni tshs 32000 za ndani ni 37,000 sasa hapo wanaoagiza nje wakiagiza mengi wakulima watakosa soko lakini kwa nini bei yetu ipo juu?.
Tatu,nchi jirani wanapitia Tanzania sababu ya barabara tukifumbia macho badala ya kuzitanua wapite vizuri tuvune pesa mmeacha jirani yetu akijenga zake tukikimbiwa tusishangae.
 
Nimeona umemuweka Shivji hapo, ni hivi, taifa litahitaji academicians, watu ambao mawazo ya tafiti zao yanapaswa kutazamwa kwa uzito fulani kwa ajili ya mustakabali wa taifa, sio kila msomi awe mwana siasa, nchi ijengwe na nani sasa?
 
Back
Top Bottom