Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Wanajiua wenyewe😨😨😨😱😱Awu ya sita haiuwi watu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiua wenyewe😨😨😨😱😱Awu ya sita haiuwi watu kabisa
Tanzania lini imekuwa nchi ya kidemokrasia?Kazi ya TISS sio kuipangia nchi nani awe nani. Kufanya hivyo ni kukiuka mandate yake. Umetoa mfano wa watu ambao hakuna aliyewazuia kugombea uongozi. Lissu na Muhungo, wote, wameshajaribu kuwania kiti cha Rais hawakufanikiwa. Professor Shivji yeye hajawahi kugombea hata udiwani. Ulitaka TISS wafanye nini?
Hata huko Marekani, Bush Sr na Bush Jr hawakuwekwa na CIA. Juhudi zao ndizo zilizowawezesha kukipata kiti cha Rais wa Marekani. After all, in a democratic country, haiwezekani kumuandaa mtu fulani kushika kiti cha Rais au PM. Ndiyo maana hata outsiders kama Obama na Trump walifanikiwa kukipata kiti cha Rais wa Marekani.
Wakenya hawakuiba general tire. Tuliwakarabisha wenyewe kama wawekezaji. Wakakiua ili kiwanda cha cha yana kiwake zaidi.Tanzania hamna majasusi, kuna makada tu wa chama ambao wamepewa majukumu makubwa na magumu kuliko uwezo wao ndio maana hata walishindwa kuzuia kiwanda cha General Tyers kisiibiwe na Wakenya
Well saidTanzania hamna majasusi, kuna makada tu wa chama ambao wamepewa majukumu makubwa na magumu kuliko uwezo wao ndio maana hata walishindwa kuzuia kiwanda cha General Tyers kisiibiwe na Wakenya
PunguaniRubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema
Yes wanawekwa mfukoni sababu hao wanasiasa ndio viongozi ambapo wao wana report.Umesema kwa hisia kali yenye UKWELI MCHUNGU tunafelishwa na watu wa Idara nyeti. Wanawekwa mifukoni na wanasiasa na kuingizwa kuwa wapigaji. Mmechaguliwa kuilinda na kutetea nchi kwa KIAPO. Sio genge la kikanda, kisiasa wala kuwa chini ya watawala.
Ikibidi muswaada upitishwe kuwa sheria wawe independent institute.
Idara nyeti ndio mnaoumiza wazazi wenu kumbukeni mlikotoka haiwezekani mambo ya hovyo yanaendelea eti hamna taarifa.
Haiwezekani vetting za ovyo za uongozi mnaziacha ziende. Hata kama ikiwezekana lolote lisabibisheni kwa manufaa ya nchi.
Andaeni watu katika taasisi zote wenye AKILI ZENYE AKILI .
Kumbukeni mmeapa KIAPO cha Uzalendo sio kutii wahalifu waliojipa madaraka hao watoeni kwa kuwaomba wajiuzulu au walazimishwa kwa shari.
Ukiona bibi au babu kijijini anateseka hayo ni matokeo ya utendeji wenu. Tunawategemea sana na tunawaamini
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hata kwenye upinzani wengi ni Rubbish. Ukiona watu wananunulika hao ni Gabbage.Tusingekuwa na hili shetani linaloitwa CCM, huenda hii nchi mpaka sasa ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo kama ilivyo kwa Singapore, South Korea, nk!
Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Ccm imepewa kipaumbele kuliko wananchi na Taifa lao.
Basi idara hii ifutwe tubaki na ile ya kijeshi kwanzaTangu nishuhudie rafiki yangu kada wa ccm kwa influence ya baba yake( kutafutiwa mchongo) anaingia usalama wa taifa nikaona hatuko na umakini
East Africa Community, faida na hasara zakeWakenya hawakuiba general tire. Tuliwakarabisha wenyewe kama wawekezaji. Wakakiua ili kiwanda cha cha yana kiwake zaidi.
Wawe wanagoma kuingiliwa. Wanakwama wapi hao watu?Wapo tu wazuri sema wanasiasa na wanaaribu kuwaingilia, but wapo
Wanatengenezwa kimkakati. Madaraka matamuNa upumbavu wa wananchi unachangia.. nnchi ina wapumbavu weng mno
Asilimia 90 ya walio usalama wa taifa ni watu wasio weza hata hesabu za darasa la 7 mimi nawajua kama 100 hivi wengi ndiyo alikuwa na vyeti feki ...ila kutokana na mfumo wa utendaji kazi wa usalama wa taifa vyeti feki wa kule siyo rahisi kufukuzwa kazi hata kipindi cha jpm kwa sababu wanaweza kusema hiyo ni moja ya watu wanao itajika kwenye kazi za usalamaTangu nishuhudie rafiki yangu kada wa ccm kwa influence ya baba yake( kutafutiwa mchongo) anaingia usalama wa taifa nikaona hatuko na umakini
Alimfukuza kazi baba yako kwa ajili ya cheti fake.Sasa jpm alifanya kitu gani zaidi ya kuua tu watu
Najua hutanii, bt ni Ombi langu Mungu aingilie kati. AmenBasi idara hii ifutwe tubaki na ile ya kijeshi kwanza
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app