Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Hamkusoma hata kauzi jamani mwe
 
Tanzania hamna majasusi, kuna makada tu wa chama ambao wamepewa majukumu makubwa na magumu kuliko uwezo wao ndio maana hata walishindwa kuzuia kiwanda cha General Tyers kisiibiwe na Wakenya
Tanzania kungekuwa na majasusi wa ukweli siri za viongozi zisingeleak mitaani kiholela. Unakuta mtu chizi tu anapewa cheo cha ujasusi kisha sifa zinamkolea na kuanza kutafuta machangu wa bongo movie na kumpa siri za nchi. Changu akimalizana na jasusi anarudi mtaanii kusimulia wenzake.
 
Wanapwaya sana (for staters, Mabeyo alifanya makosa makubwa kuzuia watu kupindua meza). Jeshi pia lina intelligence officers wake ambao walitakiwa kumshauri yepi madhara ya kumpa Samia nchi kwa uwezo wake.

Pili katiba ya Tanzania, mamlaka aliyopewa raisi (ya kuteua na kutengua) ina compromise sana kazi zao za kusimamia maslahi ya nchi (raisi akiona awakubaliani na maslahi yake binafsi, anatoa na kuweka mwenye tamaa), ndio alivyofanya Samia kutumia katiba.

Tatu wengi hawana uwezo,

Sio nchi maskini kwa bahati mbaya, tulipo ni kipimo cha uwezo wetu.
 
Unamjua muhongo vizuri?
 
Kazi ya intelijensia pia ni kulinda katiba
 
Kazi ya intelijensia pia ni kulinda katiba
On the surface, mipaka ya shughuli zao ni sheria na katiba (which they have to abide to most of the time)

At the deep end, hasa kwenye emergency za national security, protecting the welfare of nation comes first. Ikibidi kuvunja sheria.

Wazungu washaua sana au kuwapa makash-kash maafisa usalama wanaoropoka taasisi kuvunja sheria kwa maslahi ya nchi.

If anything wanapovunja sheria kwenye emergency (kwa kukiuka), kama ni swala muhimu kwao ni muda tu kwa watu wao walio ndani ya vyombo vya sheria kabla hawajapindua męża sheria iwe upande wao. Kwa sababu sahihi za kuilinda nchi.

Huyo mama hakutakiwa kupewa nchi
 
Katiba ilielekeza apewe na alipewa

Mahaba yako peleka Kwa mumeo

Tukiendesha nchi kihisia badala ya principles tutakua Kama drc
 
Umeandika vizuri sanaa, binafsi huwa inanishangaza kuona nafasi nyeti wanapewa watu kwa kuangalia uhusiano wao bila kujali uwezo.

Na sasa hivi haya mambo ya ukada na uchawa ndo yamezalisha mijitu mijinga kuwahi kutokea nchi hii, na ukisoma reply utakutana nayo yanatoka nje ya topic kila kitu utaona yanamsifia SSH.

Ila pia mkuu ulipoanza kutaja maprof umenichanganya maana kuna maprof wapuuzi sana hii nchi na wengine tumewaona wakishindwa kutetea hoja kabisa za miradi mikubwa nchini kwa manufaa yao binafsi.
 
Hata mimi huwa nakumbusha humu na maneno yangu yanayo chosha kwa kuwafunulia kuhusu mfumo wa unyumbu wa kisiasa.

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a k.a, uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reason because of flattering or working towards group objectives and hypocrite, conceptualized by Ipyana Benny Haraba

Hitimisho tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe,

Jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, (bongo lala), jamii ya kuongozwa na watu wapumbavu, mpumbavu ni mtu ambae amebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza, anakuwa na tabia ya unyumbu, (hatumii weledi wake), hata hivyo upumbavu ni kipaji
 
That's true
 
Kuhusu mabeyo hakuwa na namna, moja ya nguzo kuu na msingi wa jeshi ni kulinda katiba ya nchi na kuitetea. (Hata kwenye kiapo chao ipo), jeshini ni sheria kabisa. Lakini mkuu wa majeshi hafanyi maamuzi mwenyewe ana COS waliomzunguka.

Just tu ili happen wakati mbaya kwake , hakuwa na jinsi

Katiba ina too much loopholes, na zikiwekwa makusudi ili kukipa power chama kitakachoshika madaraka over hivi vyombo

Is why ufisadi ,wizi, mikataba ya hovyo ikifanyika , jamaa wakijua wakubwa huko juu wanazima.
Ndio maana vinaonekana havifanyi kazi yake vipo vipo tu
 
Sahihi kabisa kuna maeneo tuweke siasa pembeni, shida Tanzania tunadhani uzalendo ni kuwa CCM.
Tanzania inatawaliwa na wanasiasa ambao kichwani ni zero, usitegemee watoe mawazo yenye kulete maendeleo. Hakuna mzalendo wote ni wachumia tumbo. Mfano nani yuko tayari kuishi bila marupurupu tunayowapa watumie tu mshahara mnono tunaowalipa hizo posho zilete maendeleo, naamanisha posho zote za viongozi hata walioko kwenye mashirika ya uma. Wajitegemee kama wafanyakazi wa kawaida wanaotegemea mshahara
 
Sio ngozi nyeusi hii tuijuayo. Watu wanalinda na kutetea kinachowanufaisha sio kilicho sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…