Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Na hapa ndo pa kuweka question mark?! Kwanini Mzee abadili gari dakika za Mwisho?! Au kamtoa kafara Dogo?!Inasemekana walilenga kumuua baba yake huyo binti ambaye ni rafiki na mshauri wa putini walitumia gari moja na binti yake kwenda kwenye festival huko Moscow. Inasemekana wakati wa kuondoka mzee alitumia usafiri mwingine then binti ndio akakutana nacho
Hahahaha yaani Iran ikamate jasusi la Israel halafu ikae kimya.Jasusi hata akikamatwa inafanywa Siri,anaminywa kende mpaka aseme kila kitu na mwishowe anakuwa neutralized!Huko Iran,wameshakamatwa majasusi wengi tu,Kuna wamarekani na waingereza wameshakamatwa Iran Kwa ujasusi!Sema Huwa wanalipa price kubwa,Tena hao ni wale ambao wamejisikia kutangaza!Vipi wale ambao wanaminywa kimya kimya?
Hata huko Jerusalem na Tell Aviv,wapalestina walishaingia na kuua waisrael!
... mdada mmoja mrembo fulani ila mwenye akili nyingi!Hahahhaha mwanamama anapiga tukio kama hili na kusepa.
Mrembo kaingia Moscow na namba za Donetsk, kapiga show na namba za Kazkhastan, kasepa na namba za Estonia! Halafu FSB wamelala usingizi wa pono! Huyu ni "nyoka"; akili nyingi sana!Nimeamini FSB (zamani KGB) ilikua enzi zile za cold war ss hv hamna kitu
Hata mimi nimejiuliza huenda mzee alikua ameshajua tayariNa hapa ndo pa kuweka question mark?! Kwanini Mzee abadili gari dakika za Mwisho?! Au kamtoa kafara Dogo?!
Ndio nimekwambia,hata Israel watu wanaweza kuingia na kufanya Yao,huko Jerusalem,Karibu na ubalozi wa US bomu limelipuliwa na kujeruhi wamarekani 5 na waisrael kadhaa,mwaka huu huu!Hahahaha yaani Iran ikamate jasusi la Israel halafu ikae kimya.
Israel imeanza kuua wanasayansi ya nuclear wa Iran tangu Muongo uliopita,je kuna agent hata mmoja alidakwa?!
Wakamuua Yule jamaa anayejulikana kama Baba wa nyuklia wa Iran kwa kutumia satellite machine gun.
Wakaiba maelfu ya nyaraka zenye taarifa kuhusu nuclear program ya Iran.
Wakalipua kituo cha nyuklia cha Natanz na operation nyingine kibao,vipi Iran wamefanikiwa operation gani hata ya kulipa kisasi dhidi ya Israel?!
Mrembo kawapiga kitu kizito akakakimbia halafu akawaambia mkinikamata niiteni mbwa nimekaa paleeee[emoji23]Mrembo kaingia Moscow na namba za Donetsk, kapiga show na namba za Kazkhastan, kasepa na namba za Estonia! Halafu FSB wamelala usingizi wa pono! Huyu ni "nyoka"; akili nyingi sana!
Angekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?Mrembo kaingia Moscow na namba za Donetsk, kapiga show na namba za Kazkhastan, kasepa na namba za Estonia! Halafu FSB wamelala usingizi wa pono! Huyu ni "nyoka"; akili nyingi sana!
Fungua RT today, tv ya taifa ya UrusiHuu ni uzushi tu
Uzushi wamekutajia mpaka jina kamili,wameweka Hadi video za huyo dada alivyoingia na alivyoondoka Kwa haraka mara tu baada ya mlipuko!Huu ni uzushi tu
Hua wanakamata wairan wenzako waliowahi kushirkiana au kutumiwa na mossad (halafu wakija kwenye media wanajikwambafai) sijawahi ona Iran kamkamata mossad agent aliyefanya tukio.Ndio nimekwambia,hata Israel watu wanaweza kuingia na kufanya Yao,huko Jerusalem,Karibu na ubalozi wa US bomu limelipuliwa na kujeruhi wamarekani 5 na waisrael kadhaa,mwaka huu huu!
So nakushangaa unapoidharau Russia kisa jasusi ameenda na kumtegeshea bomu mtangazaji ambaye hana hata ulinzi na anakatiza mitaa mwenyewe!Yaani huyo hata haikuwa na haja ya bomu,hata kisu tu unamuondoa kirahisi,Tena ni kibinti!
Chukua hii,si unasema majasusi ya Israel Huwa hayakamatwi?On attachment
Tukiweka ushabiki pembeni kuna kitu hakipo SawaHata mimi nimejiuliza huenda mzee alikua ameshajua tayari
Hivi Osama alivyowapiga tukio US,iliwachukua muda gani kumpata?Vifo zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!Sasa hapa si unaaibisha mabwana zako wewe Sikirimimimasikini .
Yani mwanamama kaja kapiga na kaondoka wao wamelala usingizi? Siku nyingine atawatia vidole kabisa kuweni makini
Ataishi na Kula bata km lote akiwa New York na hakuna kitu Putin atafanyaAngekuwa nyoka,asingeacha trace,hapo ataishi kama digidigi maisha yake yote!Au hata hao waliomtuma wanaweza kummaliza Ili asijepatikana!Hapo Kuna akili?
Binti mwenyewe ni mtangazaji,hana ulinzi!Anauwawa vipi Kwa bomu?Huyo Ilikuwa hata Kwa kisu au poison tu!
Mimi nimekupa taarifa ya hao waliokamatwa ambao ni majasusi wa Mossad!Taarifa yote inasema Iran imeficha majina na uraia wao!Hua wanakamata wairan wenzako waliowahi kushirkiana au kutumiwa na mossad (halafu wakija kwenye media wanajikwambafai) sijawahi ona Iran kamkamata mossad agent aliyefanya tukio.
Umeona Newyork ndio salama sana eeeh?Huko huko New York,Osama aliwadungua zaidi ya wa US 2000 Kwa siku Moja!Ataishi na Kula bata km lote akiwa New York na hakuna kitu Putin atafanya
Walishindwa nini kumdaka?Uzushi wamekutajia mpaka jina kamili,wameweka Hadi video za huyo dada alivyoingia na alivyoondoka Kwa haraka mara tu baada ya mlipuko!
Huyo hawampati Mkuu Labda waanzishe WWIII watulipue dunia nzima kisa hicho kibinti kimojaUmeona Newyork ndio salama sana eeeh?Huko huko New York,Osama aliwadungua zaidi ya wa US 2000 Kwa siku Moja!
Kama aliyefanya Huo uhalifu hatauwawa,ajiandae kuishi kama digidigi!
Uchunguzi si umefanyika baada ya tukio na kubaini hayo!Au ulitaka warudishe muda nyuma Ili wamdake?Mnawaza Nini vichwani mwenu?Walishindwa nini kumdaka?
Maana yake mnajua kinaenda kuuwawa Kwa kufanya kazi kizembe mpaka kujulikana!Huyo hawampati Mkuu Labda waanzishe WWIII watulipue dunia nzima kisa hicho kibinti kimoja