Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Wamejuaje ni majasusi! au ndio Bifu....sio wanakamata watu wetu kwa kisingizio cha ujasusi.....
Upo sahihi kiasi flani. Ukisoma gazeti lao linasema walikuwa na makamera makubwa.

Sasa kamera ndiyo ujasusi sipati picha.
 
Sory shemeji, usijali tushamaliza! [emoji1] [emoji85]
 
Camera kubwa Kubwa hao wanahabari itakua
 
Walikuwa wanamtegemea mmoja tu ambaye alikuwa anajua kiingereza.

Ndo maana walikuwa wakimfuata kama kumbikumbi.

Wamalawi ni kaka na dada zetu sote ni wandugu.

Ila Nyasa Times wanakuwa wakati mwingi wanafanya propaganda.
 
Ni ka mji kadogo kanakohudumiwa na mji wa Kyela kwa mahitaji mengi. Kuna high unemployment rate kama maeneo mengi ya malawi. Mabinti hujiuza ili waishi.

Ni kweli mimi napafahamu nimefika mara nyingi tu.

Ila hii habari haina uzito sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…