STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Jun 9, 2022 #61 Imeloa said: Ameiba nini. Ninyi ndio wale mkishashindwa maisha na mkapigika sana, mnaanza kudai kwamba matajiri wamewaibia. 😎[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Huwezi kujua kwa sababu unakula hme, wenye kujua history za Africa wanajua nn mmeibiwa ktk ardhi zenu na mnaendelea kuibiwa
Imeloa said: Ameiba nini. Ninyi ndio wale mkishashindwa maisha na mkapigika sana, mnaanza kudai kwamba matajiri wamewaibia. 😎[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Huwezi kujua kwa sababu unakula hme, wenye kujua history za Africa wanajua nn mmeibiwa ktk ardhi zenu na mnaendelea kuibiwa
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Jun 9, 2022 #62 4by94 said: duh hata dawa na elimu yako ni kwa hisani ya watu wa USA , hili ndo ttzo la kutegemea hotspot ikuwek mjin Click to expand... Hata pumzi unayovuta utasema kwa hisani ya marekani kwa sababu taari ww ni mtumwa wa kiakili kwa hao watu, Mungu akunusuru usijekuwafata mila zao za kuowana wanaume kwa wanaume tu
4by94 said: duh hata dawa na elimu yako ni kwa hisani ya watu wa USA , hili ndo ttzo la kutegemea hotspot ikuwek mjin Click to expand... Hata pumzi unayovuta utasema kwa hisani ya marekani kwa sababu taari ww ni mtumwa wa kiakili kwa hao watu, Mungu akunusuru usijekuwafata mila zao za kuowana wanaume kwa wanaume tu
audax Medard Member Joined Mar 25, 2022 Posts 16 Reaction score 8 Jun 9, 2022 #63 Bwana Utam said: Ulidhani kwenye hii Oparation ninyumba zinapakwa rangi!!! Ngojea hapo hapo MKUU Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mbona Rasia yenyewe majengo yake yapo vizuri Yaani Ukraine wakija kusimama kiuchumi si leo Na wajukuu wataripa deni
Bwana Utam said: Ulidhani kwenye hii Oparation ninyumba zinapakwa rangi!!! Ngojea hapo hapo MKUU Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mbona Rasia yenyewe majengo yake yapo vizuri Yaani Ukraine wakija kusimama kiuchumi si leo Na wajukuu wataripa deni
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Jun 9, 2022 #64 STRUGGLE MAN said: Huwezi kujua kwa sababu unakula hme, wenye kujua history za Africa wanajua nn mmeibiwa ktk ardhi zenu na mnaendelea kuibiwa Click to expand... Hakuna cha kuibiwa bwana, wizi gani huo unaoufahamu wewe na kuufanya siri na eti wengine wenye akili kukuzidi tusijue.
STRUGGLE MAN said: Huwezi kujua kwa sababu unakula hme, wenye kujua history za Africa wanajua nn mmeibiwa ktk ardhi zenu na mnaendelea kuibiwa Click to expand... Hakuna cha kuibiwa bwana, wizi gani huo unaoufahamu wewe na kuufanya siri na eti wengine wenye akili kukuzidi tusijue.
audax Medard Member Joined Mar 25, 2022 Posts 16 Reaction score 8 Jun 18, 2022 #65 Imeloa said: Hakuna cha kuibiwa bwana, wizi gani huo unaoufahamu wewe na kuufanya siri na eti wengine wenye akili kukuzidi tusijue. Click to expand... Ni kweli sisi hatuwezi kuendelea kuibiwa
Imeloa said: Hakuna cha kuibiwa bwana, wizi gani huo unaoufahamu wewe na kuufanya siri na eti wengine wenye akili kukuzidi tusijue. Click to expand... Ni kweli sisi hatuwezi kuendelea kuibiwa