STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Huwezi kujua kwa sababu unakula hme, wenye kujua history za Africa wanajua nn mmeibiwa ktk ardhi zenu na mnaendelea kuibiwaAmeiba nini. Ninyi ndio wale mkishashindwa maisha na mkapigika sana, mnaanza kudai kwamba matajiri wamewaibia. 😎[emoji1787][emoji1787]