Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.
Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa.
Wapalestine wa Hamas wanauliwa bila kosa kabisa. Walikuwa Hamas wametulia tu naona wanajeshi wa Israel wakaamua kwenda kuanzisha vita. Why jamani, why?kwa nini? Israel atapigika sana. Subiri tu afike sehemu flani. Wametegewa mchezo.