Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nyoka akiingia kwenye shimo ardhini ambalo njia ya kutokea au za kutokea unazijua unamfata shimoni wa nini kupoteza muda!?,unaziba mashimo tu kwa vitu vizito anabakia hukohuko bila hewa. Hakuna msiba, hakuna mazishi. Unakuwa umekata mzizi wa fitina. Maisha mengine yanaendelea.Wanabomoa badala ya kuingia humo na kupambana nao Kisha kuwakamata!
Ahahaha wale jeshi la machoko waogaNyoka akiingia kwenye shimo ardhini ambalo njia ya kutokea au za kutokea unazijua unamfata shimoni wa nini kupoteza muda!?,unaziba mashimo tu kwa vitu vizito anabakia hukohuko bila hewa. Hakuna msiba, hakuna mazishi. Unakuwa umekata mzizi wa fitina. Maisha mengine yanaendelea.
hii vita haitaisha hadi panya wote wa hamas wakamatwe na kuwa castrated. walichokoza wenyewe. na sasaivi raia wameshaondoka Gaza hivyo hakuna sababu hata ya cease fire kule kaskazini wala kupeleka msaada wala kurudisha umeme au kupeleka mafuta.Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi...
We jamaa huna akili kabisa.unatudhalilisha sisi Wapalestine. Yaani uingie kwenye shimo la panya badala ya kuwaulia panya humo humo? Why u risk na uchafuke?Wanabomoa badala ya kuingia humo na kupambana nao Kisha kuwakamata!
Anawadhalilisha wapalestina🤭🤣We jamaa huna akili kabisa.unatudhalilisha sisi Wapalestine. Yaani uingie kwenye shimo la panya badala ya kuwaulia panya humo humo? Why u risk na uchafuke?
Duh nomakwanza hapo ni kwasababu tu wanajua kuna mateka wao humo kwenye mashimo, isingekuwa hivyow angeshafanya kile marekani ilifanya mapango ya tolabora taliban, walipiga sumu mchezo ukaisha.wameachwa chini kuwa chakula cha mchwa.
ndio kinachoenda kutokea ukiona hamas wamechinja wale mateka israel ikajua kuwa kwenye mahandaki hakuna raia wake aliye hai, wanapiga sumu. kuna waziri mmoja alihojiwa jana akaropoka kuwa wana mpango kupiga gaza kwa nuklia, Netanyau amemsimamisha asihudhurie vikeo tena manake anatoa siri za kambi. raia wakiondoka wakajua kuwa pale wamebaki wapianaji wa hamas peke yake, kuna bomu litapigwa pale manake tangu awali Netanyau alisema anataka kukikfanya kieneo cha Gaza kuwa deserted island, yaani kisiwa asichoishi mwanadamu yeyote. kwasababu ameona wakiishi pale, wanamrushia roket.Duh noma
🤭🤔Sumu
ndio kinachoenda kutokea ukiona hamas wamechinja wale mateka israel ikajua kuwa kwenye mahandaki hakuna raia wake aliye hai, wanapiga sumu. kuna waziri mmoja alihojiwa jana akaropoka kuwa wana mpango kupiga gaza kwa nuklia, Netanyau amemsimamisha asihudhurie vikeo tena manake anatoa siri za kambi. raia wakiondoka wakajua kuwa pale wamebaki wapianaji wa hamas peke yake, kuna bomu litapigwa pale manake tangu awali Netanyau alisema anataka kukikfanya kieneo cha Gaza kuwa deserted island, yaani kisiwa asichoishi mwanadamu yeyote. kwasababu ameona wakiishi pale, wanamrushia roket.
Wajaze maji muleJamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.
Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa. Wapalestine wa Hamas wanauliwa bila kosa kabisa. Walikuwa Hamas wametulia tu naona wanajeshi wa Israel wakaamua kwenda kuanzisha vita. Why jamani, why?kwa nini? Israel atapigika sana. Subiri tu afike sehemu flani. Wametegewa mchezo.
View attachment 2808953
inaonekana walijadili uwezekano huo kwenye kikao cha ndani, waziri mmoja wa masuala ya ulinzi akatoa siri hiyo alipohojiwa, Netanyau akampiga stop kuhudhuria vikao tangu jana.Gaza is too small kutumia nuclear , hamas si wazito kiasi cha kutumia nuke war head . Hili ni overkill
Shida yote ya nini, wanawafukia tuWanabomoa badala ya kuingia humo na kupambana nao Kisha kuwakamata!
Walishapulizia sumu huko ndani ya mahandaki kubomoa wanazika kupoteza ushahidiWanabomoa badala ya kuingia humo na kupambana nao Kisha kuwakamata!
Sudan wafrika wanafanyiwa mambo ya ajabu sana,wana harakati huku kimyaKama Tanzania na Afrika tungeelekeza macho yetu na akili zetu Kwa waafrika wenzetu wanao uliwa huko Sudani na Kongo Kwa urafi wa aridhi na uchu wa lasilimali za Afrika kunako fanywa na Waarabu na wazungu