Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

Hili nalo Tango.
 
Bonge la Pointi, na hakika ni ushamba tu, kwa wenzetu hawanaga hizi swaga
 
Anaeijua issue ya askari jeshi Tabora kumchoma visu police atupe ubuyu kidogo
 
Polisi wanapenda kujilinganisha na wanajeshi wanafikiri wako sawa.

Ni kiburi na kutokujua kuwa wao ni idara za serikali Kama walivyo wafanyakazi wengine wa kiraia.
 
Hili tango labda sababu ya lugha ila jeshi kwa kingereza ni army au defensive forces, jeshi kazi yake ni kulinda mipaka na majukumu mengine endapo CinC ataona inafaa...sasa polisi na Magereza tangia lini ni defensive forces?
Unaongozwa na katiba ya muingereza? Katiba yako imeunda wewe unakosoa.
 
Ulivyokua boya unakaribisha maswali kwa kitu ambacho huna utaalamu nacho ..... hakuna cheo kinaitwa RSM ndugu afu haya majeshi mengine hizi ni taasisi za kiraia zikizoundwa kupambambana na vikundi vya kuharifu vya ndani ndio maana wote wakizidiwa huitwa hao wanajeshi
 
siku mamako akibakwa urudi hapa kuandika uharo huu
 
polisi ni pure civilian na hawaondoki na vyeo kama wanajeshi(kamishened) polisi akiacha upolisi ni kama afisakata aliekuaga zaman bora mwl au dokta nabaki na udokta wake.

pia polisi ana power kubwa kuliko mwanajeshi ktk maisha ya kawaida.polisi anatoa amri na ishara zote uraian.

MP hana mamlaka yeyote uraia ni kama mrembo tu hawez kuamrisha hata mtoto afanye lolote.hata mjeda awe na ofisa hawez kua na statas kubwa uraian kama afisa wa polisi

OPs zote za ndani ya nchi znaratibiwa na kusimamiwa na polisi hata kama wajeda watakuepo joint ops.

vyeo ni kwa ajili ya utawala wa taasisi husika jeshi vyeo ninkwa ajili ya uongozi na polisi vyeo ni kwa ajili ya usimamizi, ukimuona pte hana cheo maan ayake hana mtu w kumuongoza ila ukimuona polisi hana cheo sio kwamba hana power ya upolisi power anayo na aweza kutoa amri kwa yeyote.

hakuna namna vyeo vya upande mwingine vitaamrisha vyeo vya upande mwingine japo kuna ulinganifu kwa ajili ya heshima za kijeshi japo 2LT. anakomand platoon na A/Insp. pia anakomand platoon ila LT/Mr/Gentlemen akitoka kmbini hana tena meno lakin Inspekta anaweza akatawl raia wengi na eneo kubwa.



hivo mm naon ahakuna haja ya kusema polisi ni jeshi kama Defensi force ni jeshi kwa maana ya taasisi maana hata jeshi la wokovu pia ni jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…