I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Sep 12, 2024 #261 Makamanda wa majeshi ya nchi kuwa machawa ni udhaifu wa serikali na kutojiamini kwa Rais!
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Sep 12, 2024 #262 Mwezi jana alisema hivyo hakuna jeshi lilitoka huyu nae wa kupuuza kama wengine