Pre GE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzuri wa familia ya Mbowe pamoja na mkewe Erythrocyte watakuwa nyumbani siku hiyo mana tayari kuna wapumbavu wa chadema wamejiandaa kuandamana ila kinachoniuma ni wale wananchi wasio na lolote hata hao wanaowapigania wakipata uongozi hawawezi kuwakumbuka hao waliowapigania
kijana mdogo unakua mshirikina (kuipenda ccm)
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.

RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.

Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.

My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Wanajeshi wana life gumu sana, hao watawala wanawatumia kama Condomu tu,wanao faidi hii nchi ni hao watawala wa CCM,
 
Usafi gani wa JWTZ askari 5000 na Polisi askari 3000,..
Hebu niambie nchi gani inayopeleka Brigedi 5 kwenye usafi..
Au hujui maswala ya kijeshi nikufundishe
Unajua majukumu ya jeshi.? Bc hy siku yatafanya majukumu yao yote sio lazima mtangaziwe yote
 
Uko uwezekano siku hizo raia wakashinda majumbani bila kutembea kwa sababu ya hofu!
 
Back
Top Bottom