Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
RC hii umeenda mbali.
Nini mnachoogopa hapa!
Maandamano ni ya Amani shida ya serikali yako ni nini! Je umetumwa!
Je wanajeshi wetu ndio kazi yao ya kufanya usafi na sio wananchi wa jiji hilo!

Kwa kweli CCM bila hao na polisi ni vumbi.
Lakini iko muda utasema.
 
MKUU WA MKOA PALE KMR BUCHA KUTAKUWA NA KACHUMBA PLS NIINBOX NIWAPE FUNGUO MUWEKE VYOMBO VYA USAFI SIKUMOJA KABLA MUAMKIE PALE
 
Hata wanajeshi na POLISI wanstosha kuandamana siku hiyo. Kikubwa na kufikisha ujumbe Kwa Rais CDM wao wanaweza wakaandamana siku nyingine ili maandamano yasigongane ila na wao wafuate taratibu zote za maandamano.
 
Chalamila kawapa Promo ya bure Chadema

Ushamba mzigo [emoji23][emoji23]
Inadhihirisha namna nchi hii tunavyoongozwa na baadhi ya wendawazimu. Halafu ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Ni dharau kubwa sana kwa wakazi wa Dar kupewa kiongozi kama huyu.

Rais Samia tafadhali ipe Dar es Salaam heshima inayostahili. Kuipa Dar kiongozi kama Chalamila ni sawa na kututusi.

Huyu ni aheri angepewa ubalozi huko Yemen au Somalia. Kule wana uwezo wa kuwadhibi waropokaji.
 
Usafi! The only thing these fuckers can do! Dunia, inafanya,juhudi kwenda anga za mbali, kutumia artificial intelligence kwenye kila nyanja ya, uchumi, hapa bongo ma zwazwa, yanapanga kufanya usafi wa mazingira! Yanaona jambo LA maaana Sana! Hv hata kuiga hatuoni, umeishawahi kusikia Governor wa state huko USA anaenda kufanya usafi wa mazingira!?
Watu watakusanyika kwenye tukio LA pekee,
Huu mkusanyiko wa kufanya usafi, ungekuwa na maaana, kama kwenye sherehe za xmass, au, mapinduzi, mnaenda kutoa misaada vituo vya yatima, au madokta wa jeshi mnaweka kambi sehemu kutibu watu bure! Magonjwa yote!
 
Yaani mwanajeshi unamshusha hadi mfagizi, Kwa hiyo majukumu Yao ya siku, na hao wanausafi watapumzika!?
Halafu Jiji lina bajeti ya usafi na wakandarasi wanaolipwa na kodi zetu. Wanasheria wanatakiwa kuwashtaki Jiji na RC kwa kushindwa kuwasimamia wakandarasi hadi inafika mahali Jeshi linafanya usafi. Utakuta wanapewa posho juu wakati vijana wapo mtaani hawana kazi.
 
Jambo lolote hata kama ni dogo ukilihusisha Jeshi ujue Mjadala wake unasambaa hadi Vijijini

Mwagito Albert amechemka
 
Palestina mtoto mdogo anamtoa Jasho Isreal na kifaru chake. Tanganyika mtu mzima anaogopa sauti ya fisi msituni
 
Chadema waandamane ila wasichafue mazingira tuu 🀣🀣🀣🀣🀣😁😁😁😁😁😁😁
 
Chadema wangeendelea kudai katiba! Wangepata huruma ya dola!

Lakini wakaingia mkenge was nusu mkate wakakosa hata credibility ya Dola kuwatetea!!

Waache kulalamika wavune walichopanda!!
 
MKUU WA MKOA NAKUUNGA MKONO KWA HILI KAMA KU A JEZI RASMI WANAOTAKA KUFANYA USAFI TUNUNUE SIKUHIO TUTAMBULIKE RASMI TAFADHALI
 
Huyo unayemdharau ni nwakilishi wa rais kwa jiji la dar es salaam
Kuna mtu anaweza kuongea kitu ukaona uvivu kumjibu. Umemsaidia mkuu kama hajaelewa basi atakuwa kaamua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…