Walokwenda kuzuia mapinduzi kisiwa cha Anjuan hawakufika hata 2000Usafi gani wa JWTZ askari 5000 na Polisi askari 3000,..
Hebu niambie nchi gani inayopeleka Brigedi 5 kwenye usafi..
Au hujui maswala ya kijeshi nikufundishe
Ndo maana nikasema hakuna Nchi inayoweza kupeleka 5 brigade kuikusanya sehemu moja Ni hatari sana kwa Usalama wa Taifa..Walokwenda kuzuia mapinduzi kisiwa cha Anjuan hawakufika hata 2000
Hapa ni mbele kwa mbele mpaka maji tuyaite mmaa
Amewashauri watu wa Dar. Ninyi wa Mchambawima, hamhusiki.Shika ufagio wewe na Mama yako.
Hii serikali ya viti maalum ina matatizo sana viongozi wake huenda wanatumia viungo vingine kufikiri tofauti na kichwa. Kwa hiyo watu waendelee kufa kwa kipindu pindu mpaka wiki kesho kutwa ndo usafi ufanyike? Mi nilidhani angetangaza usafi uanze leo kumbe anasubiri maandamanoπ€π€Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Samia ni mswahili kabisa na sasa amenogewa madaraka na uchu umeongezekaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Hapo kwenye world is watching hamna kitu kwa sasa kila nchi ina matatizo yake hakuna atakaye kuja kuwasaidia kutatua yenu. Tatueni matatizo yenu wenyewe sio kutegemea msaada. Pili kiongozi wa serikali ya viti maalum anajua kula vizuri na hao so called " the world" as long as maslahi yao hayaguswi in a negative way hutoyasikia wakikohoa.Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa uchaguzi. Shame on you Chalamila. The world in watching.
ππππHeshima ni kitu cha bure...
nchi ya wenyewe hii mkuu sisi wasindkzaji tuNimeshangaa sana aisee
sifahamu ndo maana nmeuliza mkuu naomba kueleweshwa ili nifahamu zaidiUnayajua majukumu/mamlaka ya mkuu wa mkoa?
Download soft copy ya katiba usomesifahamu ndo maana nmeuliza mkuu naomba kueleweshwa ili nifahamu zaidi
Huwa huoni Wanajeshi kwenye msafara wake kikazi?hii nchi watu ni walevi wa madaraka
sasa chalamila ana uwezo wa kuamrisha jeshi wafanye usafi wakuu emu nipeni muongozo hapo
Wamesema wanakuja kufanya usafi, elewa hvy hayo mambo ya vita labla chadema wayatake
Unajua majukumu ya jeshi.? Bc hy siku yatafanya majukumu yao yote sio lazima mtangaziwe yote