Pre GE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usafi gani wa JWTZ askari 5000 na Polisi askari 3000,..
Hebu niambie nchi gani inayopeleka Brigedi 5 kwenye usafi..
Au hujui maswala ya kijeshi nikufundishe
Walokwenda kuzuia mapinduzi kisiwa cha Anjuan hawakufika hata 2000
Hapa ni mbele kwa mbele mpaka maji tuyaite mmaa
 
mkuu wa mkoa
Kwa maeneo ya mbezi beach naomba tuwasiliane ntatoaaaaa eneo buree kwa ajili ya kupumzikiaaaa wakiwa kazini kwa sikuhiooooo...na tankibovu mpaka rainbow kwenda afrikana tujiandae
 
Walokwenda kuzuia mapinduzi kisiwa cha Anjuan hawakufika hata 2000
Hapa ni mbele kwa mbele mpaka maji tuyaite mmaa
Ndo maana nikasema hakuna Nchi inayoweza kupeleka 5 brigade kuikusanya sehemu moja Ni hatari sana kwa Usalama wa Taifa..
Halafi askari Polisi 3000 ni wengi sana sidhani kama tunaweza kuwa Nao kwa mkoa wa Dar peke yake
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.

RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.

Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.

My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Hii serikali ya viti maalum ina matatizo sana viongozi wake huenda wanatumia viungo vingine kufikiri tofauti na kichwa. Kwa hiyo watu waendelee kufa kwa kipindu pindu mpaka wiki kesho kutwa ndo usafi ufanyike? Mi nilidhani angetangaza usafi uanze leo kumbe anasubiri maandamano🤭🤭
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.

RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.

Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.

My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Samia ni mswahili kabisa na sasa amenogewa madaraka na uchu umeongezeka
 
Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa uchaguzi. Shame on you Chalamila. The world in watching.
Hapo kwenye world is watching hamna kitu kwa sasa kila nchi ina matatizo yake hakuna atakaye kuja kuwasaidia kutatua yenu. Tatueni matatizo yenu wenyewe sio kutegemea msaada. Pili kiongozi wa serikali ya viti maalum anajua kula vizuri na hao so called " the world" as long as maslahi yao hayaguswi in a negative way hutoyasikia wakikohoa.
 
Umeambiwa jeshi ndilo linafanya usafi wewe umekomalia wananchi
 
Back
Top Bottom