Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siku hy wakati mnaandamana ndio utajua majukumu ya jeshi, uwepo eneo la tukio usije kuleta visingizio

Jeshi la kijinga kweli. Waendee wakazibue chemba za mavi. Yani jeshi halijitambui.
 

Wewe huoni tangazo moja tu, jeshi limeitwa?. Halafu kufanya mapinduzi bongo ni kazi sana.
 
Nawakumbusha chadema kuwa mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo wajichanganye hiyo tarehe waje watusimulie
 
Kwani FFU siyo polisi dogo? Haikutakiwa kutenganishwa na polisi kama vile ni jeshi lingine rekebisha hiyo kwenye uandishi wako
 
Mboga mboga na serikali yake wanaendelea kuonesha ni waoga kiasi gani, kuitishwa maandamano kidogo tuu wameandaa majeshi kama wanaenda vitani 😁😁, tangu lini watanzania waka andamana πŸ€”πŸ€” ni aibu kubwa Sana kuona jeshi nalo linatumika kisiasa congo, sudani na kwingineko kuna vita waende wakapigane huko, acheni uoga na utoto debe tupu nyie
 
Ndo maan kamwe tz itaendelea kuwanufaisha wachache kwa sababu ya akili km hizi. Na wizi kwa wafanyakazi wa umma hautakoma kamwe sababu wanaijua vizuri mchezo wanasiasa.
 
Nawakumbusha chadema kuwa mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo wajichanganye hiyo tarehe waje watusimulie

Wakusimulie Nini?. Yani JWTZ imekuwa sehemu ya CCM kujificha. Wakizidiwa wanawaita JWTZ. Ila iwe mara ya mwisho, ipo siku watawaita watagoma Kuja kufanya usafi.
 
Hapa dawa ni Chadema wasogeze siku 1 mbele au warudishe siku 1 nyuma kama kweli wana nia na maandamano.

Dawa ni kwenda vile mazingira yanavyotaka,hauwezi kuhitaji fair vitani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…