Pre GE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siku hy wakati mnaandamana ndio utajua majukumu ya jeshi, uwepo eneo la tukio usije kuleta visingizio

Jeshi la kijinga kweli. Waendee wakazibue chemba za mavi. Yani jeshi halijitambui.
 
Mbowe nimeshaanza kumshtukia ni ccm inside job.
Huwez kutumia mbinu ile ile miaka nenda rud bila mafanikio na bado unai opt.
Siku nikiskia kuna mchango wa chini chini kusupport logistics za jeshi la ukombozi nitajua wanamaanisha.
Kwa kiwango cha usugu wa ccm maandamano ni porojo.
Ifahamike ni chama chenye mtaji nyanja zote kuliko chama chochote cha siasa africa, haijalishi kinaongoza nyumbu.(pesa, watu/utaalam, vifaa vya kijesh/dola, na zaid NIA ya kukaa madarakan)

Wewe huoni tangazo moja tu, jeshi limeitwa?. Halafu kufanya mapinduzi bongo ni kazi sana.
 
Nawakumbusha chadema kuwa mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo wajichanganye hiyo tarehe waje watusimulie
 
Kwani FFU siyo polisi dogo? Haikutakiwa kutenganishwa na polisi kama vile ni jeshi lingine rekebisha hiyo kwenye uandishi wako
 
Mboga mboga na serikali yake wanaendelea kuonesha ni waoga kiasi gani, kuitishwa maandamano kidogo tuu wameandaa majeshi kama wanaenda vitani 😁😁, tangu lini watanzania waka andamana 🤔🤔 ni aibu kubwa Sana kuona jeshi nalo linatumika kisiasa congo, sudani na kwingineko kuna vita waende wakapigane huko, acheni uoga na utoto debe tupu nyie
 
Ndo maan kamwe tz itaendelea kuwanufaisha wachache kwa sababu ya akili km hizi. Na wizi kwa wafanyakazi wa umma hautakoma kamwe sababu wanaijua vizuri mchezo wanasiasa.
 
Nawakumbusha chadema kuwa mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo wajichanganye hiyo tarehe waje watusimulie

Wakusimulie Nini?. Yani JWTZ imekuwa sehemu ya CCM kujificha. Wakizidiwa wanawaita JWTZ. Ila iwe mara ya mwisho, ipo siku watawaita watagoma Kuja kufanya usafi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.

RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.

Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
View attachment 2870823

_______________
---------------------
Soma pia
CHADEMA Yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni


Hata hivyo ikumbukwe kuwa siku hiyi imepangwa kama ni siku ya Maandamano ya Wanachama wa CHADEMA DAR ES SALAM ili.kupinga baadhi ya mambo nchini..

View attachment 2870825
Hapa dawa ni Chadema wasogeze siku 1 mbele au warudishe siku 1 nyuma kama kweli wana nia na maandamano.

Dawa ni kwenda vile mazingira yanavyotaka,hauwezi kuhitaji fair vitani.
 
Back
Top Bottom