Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Waeleze waelewe......
 
Mbona umesahau maji ya zamzam?
 
Km wewe ni Mkristo,basi ni Mkristo bogas aka zuzu au zezeta,kuwa Mkristo tu haitoshi,Lazima uwe na Elimu ya kina Kuhusu Mambo hayo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana,Kwa hiyo kwa Mungu tutakuwa tunakula mkate wa uzima na damu ya Yesu?
Mtume Paulo alifundisha kuwa Ufalme wa Mungu si habari za kula na kunywa, tena mfalme Daudi alidokeza kuwa tukifufuliwa tutashibishwa kwa kuutazama uso wa Mungu milele yote
Sasa tutakuwa tunaishije,si tutakufa na njaa

Huwa nasubiri siku ya mwisho nione watu watakavyoumbuka
 
Mtume Paulo alifundisha kuwa Ufalme wa Mungu si habari za kula na kunywa, tena mfalme Daudi alidokeza kuwa tukifufuliwa tutashibishwa kwa kuutazama uso wa Mungu milele yote
Uelewa wako juu ya Maandiko Matakatifu ni Mdogo sana.Ukiwa mkubwa utanielewa na kisha utakuja kunishukuru.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mtume Paulo alifundisha kuwa Ufalme wa Mungu si habari za kula na kunywa, tena mfalme Daudi alidokeza kuwa tukifufuliwa tutashibishwa kwa kuutazama uso wa Mungu milele yote
Basi maisha ya duniani ni mazuri kuliko ya peponi, huku tunakokula kunywa na kufanya mapenzi.

Isingekuwa kunakufa nisingeenda mbingu ningejibakia tu dunia,
 
Hivi mnajua jinsi mitume wa Mungu walivyotabiliwa toka kuzaliwa, siyo hawa wajanjawajanja wanaotapeli watu, kumbuka Yohana mbatizaji, Mussa mpaka Yessu na wengine
 
Basi maisha ya duniani ni mazuri kuliko ya peponi, huku tunakokula kunywa na kufanya mapenzi.

Isingekuwa kunakufa nisingeenda mbingu ningejibakia tu dunia,
Unalinganisha kushiba kwa kula mnofu wa nyama ya tumbili, mamba au kitimoto dhidi ya kushiba kwa kuutazama USO wa Mungu?
 
heri nibaki dunia, au niende nikijua kutakuwa na wanawake mabikira, mito ya pombe, matunda manyama ya kila aina, hapo sawa
 
Unataka mito ya pombe ili ukilewa uanze kumtukana muumba kwa kukuchagulia mabikra wasio na mizigo ilhali mwenzako wamempa wale wa maumbo ya kibantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…