Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Sipendi tabia ya padre kunywa mvinyo peke yake,huo ni uchoyo kristo aliwapa wanafunzi wake wanywe bila kuwachovyea kama wafanyavyo mapadre
 
Sipendi tabia ya padre kunywa mvinyo peke yake,huo ni uchoyo kristo aliwapa wanafunzi wake wanywe bila kuwachovyea kama wafanyavyo mapadre
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anakunywa peke yake?
 
Big up mkuu. Uko vizuri sana.
 
Ni kucheza na akili za watu wavivu wa fikra ambao ni wepesi wa kuamini kwa njia nyepesi zaidi kuliko kujishughulisha wao kama wao.
 
πŸ˜†
 
Ni kucheza na akili za watu wavivu wa fikra ambao ni wepesi wa kuamini kwa njia nyepesi zaidi kuliko kujishughulisha wao kama wao.
Yapi unayaita feki ya RC, ya Mwamposa au ya Zamzam?
 
Yapi unayaita feki ya RC, ya Mwamposa au ya Zamzam?
Sijayaita feki yoyote kati ya hayo, ila shida ni imani za watu siku hizi zimekuwa za kuaminishwa na vitu rahisi zaidi kuliko wanavyofikiri wao.
 
Maji yetu Katoliki na hayo ya Mwamposa na Tonny Kapola hayana shida ila tatizo linakuja pale Mtu anapoacha kumwabudu Mungu anabaki na Maria
Maria ni mwanadamu tu na baada ya kumzaa Yesu aliendelea na masiha kawaida na bwana ake na alipata watoto wengine: Kuendelea kumuita bikra ni uongo.
Lakini walokole kama TAG nawakubali kwakuwa hawana mambo ya sanamu wala maji ya upako.
Muaminini Yesu achaneni na Maji.
 
Sijayaita feki yoyote kati ya hayo, ila shida ni imani za watu siku hizi zimekuwa za kuaminishwa na vitu rahisi zaidi kuliko wanavyofikiri wao.
Nimeskia Chumvi ya upako!!
 
Ngoja RC waje hapa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…