Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu, wa humu wasikujaze pressure bure, usipokaba hasira waweza gombana na dunia.Unyonge unawatafuna sana, chuki kwa wachanga imekuwa kubwa kwa taarifa tu hata hayo Hill water ni Mchaga Hillary Shoo
Yanachumvi'aje wakati kitaalamu tunaambiwa hayo siyo maji ya 'kudimbula' bali ni purified (distilled)water, yaani maji mvuke!
Sasa chumvi inaingiaje kwenye mvuke!
Au walishabadili ama kukoleza sana hayo madawa yao wanayoweka!
Huo ndiyo mwanzo wa kutoka kwenye reli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry ni 500 sio buku jeroWapi huko, mnapigwa pakubwa.
Wajinga sana wanachiki zilizopitilizaMkuu, wa humu wasikujaze pressure bure, usipokaba hasira waweza gombana na dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nawashangaa hawa wademkaji, tatizo wabongo wengi elimu duni..............yaani unapima ubora wa maji kwa kutumia ladha ya ulimi badala ya kuangalia madini yaliyomo. Ukisoma mineral content kwenye maji ya kilimanjaro ni tofauti kabisa na hayo ya Hill na hili ndo linaweza kutofautisha ladha lakini siyo ubora. Kuna minerals lazima uzipate kwenye vyakula na maji na kama ukipungukiwa inakula kwako....Ladha ya Maji ya Kilimanjaro ni ileile haijabadilika hata kidogo.
Nikweli kabisa wanywaji ni wachaga, nina rafiki yangu mmoja hanywi maji tofauti na KilimanjaroHayana faida nzuri kwa wauzaji na utokaji wake ni wa polepole.
Ila kwenye bar za wachaga au maduka yao huwezi kuyakosa.
Maji ya huko ni real spring water kwahiyo matamu sana..sana yaani unakunywa hadi rahaDar kunyweni maji mtakayo. Nipo kanda ya juu kusini kuna Rungwe, Mkwawa, Chemchem, Kitulo, Dew nk. Niache kunywa hayo nitafute Kilimanjaro!
Unashangaa mtu ana duka Mwakalele ndanindani huko anaweka maji kutoka mikoa 6 huko! Huo uzalendo mnaosema si uanzie nyumbani kwako basi?
Acha kuleta story za kutunga bwege wewe hapa sio fbSasa CEO si ni K lyn unategemea nn
Dew Drop ni best kuliko maji yote tatizo yanapatikana sehemu chache mnoHata kabla ya Mengi kufariki, maji ya Kilimanjaro yalishapoteza ladha kabisa.
Kuanzia walipoondoa packaging ya maboksi, maji yalianza kuchakachuliwa mno na kuleta ladha mbaya.
Dew Drop madogo ndiyo maji ninayoyapenda sana.
Huenda wana mtambo bandia mwingine wanajazia dar... Yana chumvi balaa. Hupati ile taste original ya clean water; sijui walifanyaje!
Sure, yale madogo ni mazuri zaidi, tatizo vizibo vyao havifungi vizuri ni rahisi kufojiDew Drop ni best kuliko maji yote tatizo yanapatikana sehemu chache mno
Sad, mwanzoni nilidhani pekeyangu ndiye nsihisi salinityKilimanjaro sikuhizi yana taste vibaya
yapo yale makubwa pia ya elfu 4 na ya kati ya elfu 2!! yana radhaHill water maji yao matamu sana aisee, walete Sasa yale makubwa
Kibaha sehemu gani mkuu mimi naishi kibaha??Maji ya kilimanjaro tunayokunywa dar sio yale yanayotoka bonite. Yanantengenezwa hapo kibaha tu. Hata taste yake ni.chumvi tu. Tofauti kabisa na ukinywa yale origional ya moshi/arusha
Silalamiki Bali nasema ukweli ama Kuna mjaluo anaweza akanunua duka la mkalenjini.Na wewe siuwe una nunua kwa kabila lako acha kulalamika by the way charity begins at home, usipo myungisha ndugu yako huo ni uzwazwa