Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

Maji yangu ni JAMKAYA tu
Minze Manonu
 

Attachments

  • IMG_20240831_055432_591.jpg
    IMG_20240831_055432_591.jpg
    515.7 KB · Views: 2
Nakunywa DEW DROP na Hill water

Maji ya Kilimanjaro ni mazito, hayakati kiu...itawezekana chemical zimezidi

Inaweza kuwa chanzo chao cha maji, ni polluted sana hivyo wanajaza chemical kusafisha
 
Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika
Kama hadi unatapika inabidi uangalie mzunguko wako au kapime kwanza mkojo.
 
Nimeachq kunywa kilimanjaro muda sana.

Ni maji mabaya balaa,now wanapigwa bao na kina uhai,masafi na hill
 
Mwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika
Inakuwaje mtoto mzuri kama wewe unakunywa maji ya kiwandani! Hebu ukipata likizo fanya uje huku kwetu Usambaani, ili uje ufaidi maji fresh ya asili kutoka kwenye miamba.

NB: Halafu na huko kutapika huko! Mhhh!!
 
Kuna na mwenzie uhai kopo lenyewe tu linapiga kelele likiwa limejaa maji yani tunalishwa madude ambayo hayaeleweki sumu tupu
 
Kilimanjaro 💦 na Dasani 💦 ni maji bora kwa hapa nchini. Anayebisha atakuwa ametumwa na Zamzam
 
Back
Top Bottom