DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Salaam,

Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?

Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.

Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.

Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.

Asante.
Mkuu, unao ushahidi wa maneno hayo ya Makamu wa rais? nayahitaji sana maana nchii tuna 'u-mbu-mbu-mbu mwingi sana. Tangu anayejiiota mtaalamu hadi rais wa nchi. Bahati mbaya sana, walioko juu uwezo wao wa kujielimisha pia ni mdogo!

Kwani ripoti ya samaki wa mto Mara imefikia wapi? Au ule ujinga ndo ulipitishwa kama ripoti rasmi?
 
DR.MPANGO WEWE UNA CV KUBWA SANA, KWANINI UNADANGANYIKA KIRAHISI?

MTU ALIYEZALIWA MWANZA AU MARA AMEKULA SAMAKI TANGU MTOTO LEO UMUUZIE SAMAKI MWENYE FORMALIN ASIJUE??!!

HAO SAMAKI WENYE FORMALIN TUFANYE HUWA WANASAFIRISHWA MIKOA YA MBALI ILI WASIHARIBIKE SASA KWANINI KANSA ITOKE KANDA YA ZIWA?!

KANSA KANDA YA ZIWA INATOKANA NA MIGODI YA MADINI NDIO UTAFITI UNAVYOSEMA!

USIWE DR. UCHWARA KUTULETEA TAHARUKI KWENYE JAMII.

NB: ONDOENI TOZO ACHENI KUTUTOA KWENYE RELI. SPINNING ZA KITOTO KABISA HIZO.
 
Wachawi wako Dunia nzima, hata ktk butchers za nyama hutumia,

Nakushauri kuomba na kutakasa vyakula vyote na VITOWEO kabla hujavitumia.

Ktk butchers asilimia kubwa watu hulishwa NYAMA za watu, ndo Chanzo Cha magonjwa mengi ya WANADAMU.

Mahali Fulani mavi ya mbuzi yaliuzwa na kununuliwa kama maharage Kwa macho ya kibinadamu.

Kama ndo unajua Leo umeliwa. STUKA.

Ameeeen
butchers asilimia kubwa watu hulishwa NYAMA za watu, ndo Chanzo Cha magonjwa mengi ya WANADAMU

Mkuu haya madai ni mazito sana una ushahidi wowote?
 
DR.MPANGO WEWE UNA CV KUBWA SANA, KWANINI UNADANGANYIKA KIRAHISI?

MTU ALIYEZALIWA MWANZA AU MARA AMEKULA SAMAKI TANGU MTOTO LEO UMUUZIE SAMAKI MWENYE FORMALIN ASIJUE??!!

HAO SAMAKI WENYE FORMALIN TUFANYE HUWA WANASAFIRISHWA MIKOA YA MBALI ILI WASIHARIBIKE SASA KWANINI KANSA ITOKE KANDA YA ZIWA?!

KANSA KANDA YA ZIWA INATOKANA NA MIGODI YA MADINI NDIO UTAFITI UNAVYOSEMA!

USIWE DR. UCHWARA KUTULETEA TAHARUKI KWENYE JAMII.

NB: ONDOENI TOZO ACHENI KUTUTOA KWENYE RELI. SPINNING ZA KITOTO KABISA HIZO.
 
Salaam,

Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?

Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.

Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.

Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.

Asante.
Nawatetea waganga wa kienyeji kwakuwa hawawapi wateja wanywe kuliko hao wengine wanaoyachanganya na vyakula

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Nahisi mh. Ulimi ulitereza alitakiwa kusema dawa ya kuhifadhia maiti ndo inatumika kuhiffadhia samaki ili wasiharibike lakini sio maji ya maiti.
 
Utakwepa sumu kwa kutokula samaki utakutana na sumu ya kuhifadhia mahindi kuzuia wadudu kwenye ugali wa dona, maana tumezoea unataka sembe au dona, nipe dona.

Dona wanasaga bila kuosha mahindi, wanasaga matani huo mda wa kukuoshea mahindi wautoe wapi.
Mkuu, nadhani bado tunapapasa tu nini hasa kisababishi cha hali hiyo. Saratani haiji kwa muda mfupi kama malaria au homa ya mgunda(Leptospirosis)au kwa haraka kivile. Ni matokeo ya muda mrefu - zaidi ya miezi sita au hata mwaka na zaidi. Inafaa tukubaliane kwamba;-
1. Watafiti wetu waingie kazini kutafuta sababu ya tatizo na nini ufumbuzi wake wachunguze matumizi ya hiyo Formasline, wachunguze samaki waliovuliwa kwa baruti au sumu nyinginezo.
2.Sisi waathirika tujitazame Ulaji wetu i.e Tunakula vyakula gani zaidi e.g. vya asili au vya viwandani? Vimeandaliwaje? au mtindo wetu wa maisha ukoje? e.g. matumizi ya vipodozi, matumizi ya vifaa vya nyumbani e.g. plastik na utupwaji (Disposal)wake n.k n.k. ni hoja yenye mapana na sio tu ni kutokana na ulaji wa samaki wanaodhaniwa kuhifadhiwa kwa kutumia Formaline.
3.Serikali isilinyamazie swala hili na kusubiri hadi liwe limeenea Nchi nzima. Wa amke na kuwajibika ipasavyo.
4. Kwa kuwa ni hoja pana mno Wahusike na Wadau wengine wa Afya ya binadamu (Taasisi na Mashirika mabalimbali )- isiachiwe Serikali peke yake.
 
This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.

Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formali, .hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.

Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Chemicals toka kwenye migodi ya madini kutiritika kwenye mito na mabwawa ndio chanzo kikuu cha saratani kanda ya ziwa

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
butchers asilimia kubwa watu hulishwa NYAMA za watu, ndo Chanzo Cha magonjwa mengi ya WANADAMU

Mkuu haya madai ni mazito sana una ushahidi wowote?
Ninao SPIRITUAL, so ukiutaka nitakupa, kama ambavyo UCHAWI, upo lakini hauthibitiki mahakamani.

Akili za kibinadamu Zina mipaka.

Sijui kama nimekujibu sawasawa.
 
Yeah. Kama ni kweli basi maji ya mochwari yangehitajika kwa wingi sana kwani wapo samaki pia ziwa Nyasa,Tanganyika n.k. lakini why Mwanza??
Sgang wanakomeshwa. Hawajali kuwa samaki Victoria wanaleta foreign currency Kwa kiasi kikubwa ktk Nchi?
 
This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.

Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formali, .hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.

Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Nafikiri hii ndo hoja nzito yenye logic. Serikali muache siasa kwenye maisha ya watu.

Ila ili swala pia la maji ya maiti kuhifadhia samaki ndo nimelijua leo, hakika limenivuruga, ingekuwa ni sheria yangu wote hawa wanastaili kunyongwa tu, huwezi mlisha binadamu mwenzako vitu vya hovyo kisa upate faida.
 
Nchi hii ina viongozi waropokaji sana, Kiongozi wa ngazi ya juu huwezi kuropoka hadhalani habari za uzushi ambazo hazijafanyiwa tafiti ya kutosha, huku ni kuaribu biashara za watu na kuwatia raia hofu
Kabisa mkuu, mie jana sikuamini kabisa kiongozi mkubwa anawezaje kusema hayo, je kuna utafiti wa kutosha kujustify?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is a very cheap argument, maji ya kuoshea maiti yana uhusiano gani na kutokea saratani.......do you have any mechanism behind.

Labda tuseme unamaanisha kemikali inayotumika kuhifadhi maiti, mfano formali, .hivi inaingia akilini utumie formalin kwenye samaki na isilete usumbufu kwa watu wanaohusika na wateja kwa kupiga chafya au kuwashwa machoni? Hizo kemikali are very pungent ukiifungua kidogo tu hapawezi kukalika.

Kama swala ni saratani inasabbishwa na hivyo vitu kutumika kuhifadhia samaki, logic inaonyesha kwamba case za saratani zingekuwa nyingi mikoa ya mbali na Mwanza maana ndo watatumia zaidi samaki waliohifadhiwa kuliko Mwanza ambako tutategemea watu wengi wanatumia samaki fresh ambao hawajahifadjiwa na kitu chochote.
Hawa watu wanajaribu kupotosha kiini cha saratani kuwa juu huko Mwanza sijui kwa maslahi ya nani. Wafanye utafiti wenye mashiko, tatizo la saratani kuwa juu kanda ya ziwa ni kutokana na kemikali za migodini zinazoelekezwa kwenye vyanzo vya maji ikiwemo mito na kuishia ziwani. Haya ndo yaleyale ya tume ya Manyere kwamba samaki wa mto Mara walikufa kutokana na kuzidiwa na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Pathetic!!
Aliyeandika nahisi sio mwenyeji wa lake zone maana kanda yote iyo samaki wengi wanaoliwa ni fresh from the lake tofauti na pwani ambapo samaki uwa sio fresh hadi kupelekea kukaangwa kabla ya kupikwa,
 
Nafikiri hii ndo hoja nzito yenye logic. Serikali muache siasa kwenye maisha ya watu.

Ila ili swala pia la maji ya maiti kuhifadhia samaki ndo nimelijua leo, hakika limenivuruga, ingekuwa ni sheria yangu wote hawa wanastaili kunyongwa tu, huwezi mlisha binadamu mwenzako vitu vya hovyo kisa upate faida.
Madawa ya maiti yananuka kisenge yakiwekwa kwenye fish lazima ujue tu
 
Back
Top Bottom