MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Mkuu, unao ushahidi wa maneno hayo ya Makamu wa rais? nayahitaji sana maana nchii tuna 'u-mbu-mbu-mbu mwingi sana. Tangu anayejiiota mtaalamu hadi rais wa nchi. Bahati mbaya sana, walioko juu uwezo wao wa kujielimisha pia ni mdogo!Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani kuwa juu Kanda ya Ziwa ni watu wanaotumia maji ya kuoshea maiti kuhifadhia samaki.
Nimeona niijulishe Serikali kwamba moja ya wateja wakubwa wa maji haya ni waganga wa kienyeji na maji haya yanauzwa kwenye maduka ya dawa asili.
Ili Serikali ifanikiwe kudhibiti usambaaji wa biashara hii nashauri wahakikishe masoko yote pamoja na mochwari ambapo ndipo yanapotoka wanadhibiti vinginevyo tatizo hili litaendelea.
Asante.
Kwani ripoti ya samaki wa mto Mara imefikia wapi? Au ule ujinga ndo ulipitishwa kama ripoti rasmi?