Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naamini hii kitu haitokuwepo ,muhimu huo ujio ubalance na huu msibaWell, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.
Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kwa uhuni aliofanya kwa miaka hii mitano bado image yake haina doa kwako ?Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.
Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kwani Lissu ni msaliti wa nchi ?I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Rebecca 83, usaliti kwa kitu gani ?!. Yaani waliomtwanga zaidi ya risasi 38 ndiyo wazalendo ?!.I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Reb, hajazaliwa Ulaya. Alienda kwa matibabu,amepona,anarudi alikozaliwa. Constitutionally,he is absolutely right.I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Wewe aliyekuambia kuwa kuna maandamano ni nani? Mkivimbiwa mataputapu mnajitungia tungo zenu za kijuha.Lisu hana hekima hiyo eti azuie watu wasimpokee kwa maandamano.
Kwanza hao wanaompokea kwa maandamano ni kina nani?
Watu wamepigwa na kushuka kwa uchumi kwa sababu ya covid 19,Vitisho vya polisi kuwaweka ndani,na hofu ya ugonjwa bado ipo,wanawezaje kuandamana?
Hapa naungana na wewe kwa asilimia 100 na watakosa mpaka wabunge.Chadema wakimtosa lissu ndiyo mwisho wao walijue hilo
Huyo mfu ombolezeni wenyewe huko lumumba na mzoga wenu ambao umeanza kuozaHana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Very sad indeedI really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Kwa hizi siasa chafu za TANZANIA kuitoa CCM madarakani ni kujisumbua tu ... Ni sawa na kioo kutaka kuuvunja mwamba
Wapinzani wa nchi hii walipaswa kujipanga vyema kabla ya uchaguzi miaka miwili au mmoja nyuma nakuleta mapinduzi ya kudai katiba mpya .tume huru ya uchaguzi na sera inayotaka mihimili mitatu iwe inajitegemea Kivyake " Yaani serikali iwe inajitegemea "mahakama ijitegemee " bunge pia lijitegemee " Wangefanya kampeni ya kuamsha bongo za wananchi kwa nguvu zote Ili wananchi waingie bara barani nchi nzima waanze kudai Katiba mpya na Hivyo vipaumbele nilivyo viorodhesha hapo Juu ----------------- kama hayo hayatowezekana katika taifa hili basi macho yetu yajiandae kuendelea kuona CCM ikitawala miaka 3000 ijayo " na issue kubwa sio lazima CCM issue iondoke madarakani issue ni Taifa la TANZANIA kuwapata viongozi bora Wenye mlengo wa kulikomboa taifa wenye mlengo wa kutawala kwaajili ya maslahi ya taifa na wananchi wake " Viongozi wenye maono ya kutufikisha katika kilele cha mafanikio ya kiuchumi na kuwafanya watanzania wote wafaidike na rasilimali za nchi yao bila ya kuangalia matabaka ..viongozi wa kulifanya taifa liwe nchi tajiri kama jinsi ilivyo leo Qatar .UAE. etc ...... Endapo taifa likiwa na katiba mpya ambayo ni katiba bora yenye mlengo wa kulikomboa taifa na kila mtanzania Kisha tukafanikiwa kufanya kila muhimili ujitegemee Basi hata kama taifa hili lita tawaliwa na hao CCM na imani pindi viongozi hao watakapo diriki kwenda kinyume na katiba itakuwa ni rahisi kwetu kuwa wajibisha "
Kubwa zaidi na la mwisho usalama wa taifa wa nchi endapo wakiamua kutofungamana na chama cha mboga mboga na wakafanya kazi kwaajili ya maslahi mapana ya taifa " HAYO YOTE NILIYO YATAJA HAPO JUU YANAWEZEKANA
Mungu ibariki TANZANIA
Walipaswa kuja na solution .... Kwahiyo kama walikatazwa basi ndio ikawa wamekubaliana na changamoto zinazo wakabili ...wewe jamaa bwana .. Wenzao kina mandela walikuwa wanakutana na changamoto nzito zaidi ya hizi wanazopitia wao ...lakini walipambana dhidi ya makaburu mpaka waajikomboaWe jamaa hayo yote wangefanyaje?wakati walikataliwa mikutano ya hadhara,mikusanyiko na hata wakati mikutano ya ndani yenyewe walikuwa wanakataliwa.
urejeo wa Lissu watu ni jambajamba tu kuanzia huku baharini hadi Chamwino!Nilimuuliza haugopi?akajibu siogopi!Nikamwambia,wanaweza kukupiga risasi tena au ukafungwa kwa hila,akajibu NIKO TIYARI kwa lolote.Mungu ni mwema,Kamanda Tundu Lissu kurudi nyumbani kwa mapambano tena ni muujiza wa Mungu mwenyewe.Nitakuwepo Dar es Salam kumpokea siku ya jumatatu-Godbless Lema on twitter.
Maoni yangu:
Nikisoma katikati ya mistari,napata hisia kuwa, wasiwasi au mashaka haya ya Lema juu ya usalama wa Lissu, si tu ni mashaka ya Lema peke yake,bali pia yatakuwa pia ni mashaka walioyonayo viongozi wengine wa CHADEMA, na Lema kaamua kuweka wazi hili ili umma ujue kuwa Lissu kaamuaa mwenyewe kuja na si kwa kushawishiwa au kushurutishwa na viongozi wenzake katika chama(kuna watu wanaweza kuwaza hivyo).
Kwa mtazamo wangu,pengine jambo kubwa hapa ni kuwa,kuna nguvu kubwa inayomsukuma Lissu na ambayo hata Lissu mwenyewe atakuwa haielewi, na ili malengo yatimie,ni lazima Lissu apite katika hatua alizopita na pengine kuna hatua zingine atapaswa kupita kabla ya kutimia yaliyopangwa kutimia kupitia Lissu iwe ni leo,kesho,keshokuwa au vinginevyo.
Ni hisia zangu pia kuwa, hata katika ngazi ya familia, watakuwa wamejadili hili jambo, ila bado naamini ni nguvu hiyo ndio ili-prevail na ku-influence uamuzi kuwa Lissu arudi.
Hint:Tukumbuke wengi walikuwa hawaamini kama Lissu anaweza kurudi, ila ndio hivyo anarudi.
Let's wait and see how this Power works/influence things.
Unampokea wakati uko UK? Wadanganye wajinga wenzako!Tunampokea kama kiongozi wa chama kwanza, pili kama raia aliye nusurika kifo kwa risasi 16 mwilini mwake.
Ninadhani dhana hapa ni mapokezi ya Lissu.Unampokea wakati uko UK? Wadanganye wajinga wenzako!