Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi


Zipo nguvu ziongozayo yote haya,ikawa mchana ikawa usiku,cause and effect.mfano corona imesababisha zindiko la mwenge lisifanyike mwaka huu hapa masharti yamekiukwa juu ya agano la bagamoyo mapangoni,kutwaliwa kwa mwamba na mbabe wa ccm.
Siasa ni upepo sio hesabu.
Kuna mabadiliko makubwa Sana kisiasa mwaka huu,sio kila siku ni jumapili.( Unabii utatimia)
 
Ajaishiwa thus ajaomba
 
Government of the people for the people.Serikali ya watu kwa ajili ya watu,acha wananchi waamue aina ya serikali waitakayo,aina ya viongozi wawatakao kwa kuwapima na kuwaona wanafaa.Hakuna yeyeto mwenye hati miliki ya kuongoza watu.
Kuongoza watu sio kuwaumiza,kuwaburuza,kuwauwa,kuwaletea umasikini ili wakuabudu,kuwaliza machozi,
Uongozi ni tumaini na faraja la wengi kuwatoa kwenye Hali duni na kuwapeleka Hali Bora zaidi.
Matumizi ya nguvu kwa ulimwengu wa Sasa si tija.
 
Logic but Logic..ila kwa upande wa mapokezi sioni km yatakua na shida km yataishia airport i.e baada ya mapokezi watu watawanyike bila maandamano then aelekee msibani moja kwa moja
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Msimamo,nawapenda sana watu wanaosimamia wanachokiamini mpaka dakika za mwisho.
Kama ni kufa kila mmoja wetu atakufa tu.
 
 
Kizingiti no 1. kimeondoka tayari, Mungu anamsafisha njia
Kuweka kumb sawa kizingiti no. 1. Alimuweka ndani Lisu Wakati anapigania haki za wachimbaji wadogo migodini
 


Ujio wa Lissu na nguvu yake kisiasa nchini vinakuzwa bure tu.

Ninavyomjua Lissu kwa maneno na matendo yake, kiuhalisia (ukweli mtupu):
• Si mwanasiasa;
• Si mwanaharakati;
• Haheshimu mtu yeyote;
• Anatawaliwa na umimi na ujuaji usio na mipaka;
• Hakubali ushauri au kupokea maoni ya mtu mwingine; nk

Kiufupi, na hata viongozi wenzake wanajua fika kuwa Lissu haambiliki ila sasa wanamtumia kama chambo cha kunasa wapiga kura ili iwe kama ilivyotokea 2015 kwa ujio wa Lowassa CHADEMA. Na mpango wa kushambuliwa kwake kwa risasi wanaujua vizuri viongozi wenzake CHADEMA ila kwa kuwa malengo hayakutimia, sasa wanautumia kama mtaji wa kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Kama mipango na mikakati mingi ya CHADEMA inavyoishia kuwa hewa, hata huu wa kumtumia Lissu utabuma tu.
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.

Acha kujikweza wewe, uko busy na nani acha kujipendekeza,
Acha wafu wazike wafu wao.
 
Ujinga tu
Kwani Lisu alifukuzwa nchini?
Au aliambiwa akirudi atakamatwa?
Maswali ni nani alitaka kumuua Lisu, aulizwe dereva wake
Mambo ya kumfanya Lisu ni Icon Tanzania mkome
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Rebeca uwoga ndio unaomfanya mtu, familia, ukoo, jamii na hata taifa lisiwe na uthubutu katika maendeleo. Kama ni intellectual enough utakuwa umenielewa.
Kwako binafsi "Zishinde fikra za uoga, jawa na fikra za uthubutu positively"
 
Watanzania wengi kwa maneno na vitendo vyao ni wazi wanaugua ugonjwa niuitao "Ukondoo wa Nyerere". Hadi hapo ugonjwa huu utakapo dhibitiwa ndio watanzania watakuwa na uhuru wa kuamua na kusema yale yaliyo moyoni. Naamini Lissu ni mmoja wa watu wachache sana wenye uwezo wa kuleta tiba ya ugonjwa huu na dhamira yake haiyumbi na haiyumbishwi. Matusi ametukanwa, ndani alisha swekwa, kesi chungu mbovu zinamngoja na nyingine ameshinda, risasi nyingi ameshapigwa na kadhalika lakini amini usiamini hajawakatia tamaa watanzania. Mola wetu amlinde na amuongezee ujasiri na busara.
 
Ujinga tu
Kwani Lisu alifukuzwa nchini?
Au aliambiwa akirudi atakamatwa?
Maswali ni nani alitaka kumuua Lisu, aulizwe dereva wake
Mambo ya kumfanya Lisu ni Icon Tanzania mkome
Kwa tukio lililomtokea ni historia kwa Tanzania. Hata ambao si wanasiasa tuliguswa kwa tukio lile kwa mtanzania mwenzetu. Mazingira yenyewe yanamfanya awe icon
Uko biased na wala hufuatilii yanayoendelea zaidi yakujawa na chuki tu something that wont help you any how in your life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…