Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma


Acha udikteta bana. Thread za kipuuzi huzioni humu JF au kwa vile umeguswa? Freedom of expression!
 
Kazi zipi ni kazi za mbunge?
Mbunge ana kazi nne:
1. Kutunga sheria.
2. Kushiriki katika shughuli kamati za Bunge.
3. Kupitisha/kutopitisha bajeti ya nchi
4. Kutekeleza ahadi alizotoa kwa wananchi wake -

hii ya nne (4) mdio kipimo cha ubora wa mbunge kwa sababu ni yeye mwenyewe alijipima akaona anaweza kuzitekeleza hizo ahadi ndio maana akazitoa kwa wapiga kura. Siwezi kumlaumu mbunge kwa kushindwa kuzuia bajeti kupitishwa ila nitamlaumu mbunge asiyetekeleza ahadi alizotoa kwa hiari yake.
 
halafu wale mafisadi wa elimu si wanajulika? Halafu walishaandikwa kwenye kile kitabu cha Msemakweli, kwa nini Nape nape asianze na hao?
 
Acha udikteta bana. Thread za kipuuzi huzioni humu JF au kwa vile umeguswa? Freedom of expression!

udikteta kwenye keyboard??

Anyway, ngoja nipishe maana kuendelea na huu upuuzi ni kuhalalisha diversion
 
Ww ulieweka mada hii nahis umetumwa na vilaza wenzako wa CCM!Mnyika anauwezo kuliko hao maprofesa unaowajua wa CCM.Mnyika huweza kumfananisha na huyo Maghembe,Tibaijuka na Kapuya.
 
I like it
 
For me it's enough to call mr jj mnyika a genius! kwa wale hamnazo wanaoamini kwamba elimu iko kwenye cheti they are stupidly wrong, elimu ya mtu ipimwe na kile anachoweza kudeliver kwenye jamii na mazingira yanayomzunguka na jinsi anavyoweza kukabiliana na changamoto mbalimbali na sio kwa maandishi matamu yaliyopo kwenye cheti wengi wana vyeti lakini hawafanani japo kidogo na sifa zilizoandikwa ndani ya vyeti hivyo!! hongera jj mnyika kwa kuwa mkweli lakini pia kwa jinsi ambavyo kwa muda mrefu umeweza kunishawishi kwa hoja zako bungeni nikiamini ni graduate wa sheria kumbe una kipaji cha kuzaliwa nacho! wengi wenye vyeti kwenye fani hiyo hawakufikii hata kidogo!! you are a real genius!!
 
Asta mukri mugejo finch sera jivu edukalat difunfe muicho crelio.
Dadeq. Na Bado

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwanza mtu akisoma jinsi mnyika alivyopangilia hoja yake na akaja kusoma jinsi hoja hii ilivyowasilishwa atagundua mnyika yupo makini kuanzia kwenye mpangilio wa uandishi mpaka kilichoandikwa..huyu mwenye hoja hii ameungaunga tu...
 
Nape na uyo anaelia magogoni cv zenu kuanzia primary hahahaaaaaa....
 
Nadhani kwa mtu mwenye elimu ya shahada hawezi kueleza elimu yake kwa maelezo kama haya. Hapa tumeelezwa historia na uzoefu wa kazi lakini sio kiwango cha elimu,
 
ana uwezo watu wa ubungo tunajuta kuchagua kiongozi mwenye uwezo mdogo

Hv huwa unashirikisha akili unapoandika au masaburi?Maana nna wacwac na uwezo wako wa ufahamu nadhani unatumiaga zaidi masaburi kufikiri.
 
kijana ni jembe,MNYIKA unastahili pongenzi.Sasa umewamaliza hawakuwezi pamoja na degree zao za kwenye makaratasi.Wewe ni una akili za kuzaliwa
 
Asante mkuu kwa kuchambua maoni yangu kama nilivyoyatoa.

Watu aina ya Mnyika nimeonana nao wengi sana in life, na tabia kama hizi zinajirudia rudia.
Hakuna sababu ya msingi kutomaliza masomo yake UDSM, ilhli kijana anonekana yuko bright.

Msingi wake katika Seminary unweza kuchangia sana kumkanganya mtu kuishi an idealistic life as ompared to the normal existing challenges mwanadmmu anazoface.

Mimi nimepita hapo Mlimani miaka mingi kidogo, wakti ambapo UDSM ilikuwa kweli UDSM.
Nilikuwa na rafiki yangu, mtoto wa mtu maarufu hadi leo, na alikuwa very very very intelligent tulipokuwa sekondary.
Kijana akasare kwenda kusoma kwa vile he had "another calling" in life.

Lifes challenges hazi simami, ukiwa kijana unaoa, unspata fmilia, familia inahitaji matunzo , shule n.k.

To cut a long story short, yule mwenzangu alijutia sana kutoenda kumalizia shule wakati hana any incumberances in life.
Na kwa bahati mbaya hata alipotka kwenda kusoma hikuwa bure tena!

Sasa namshauri JJ Mnyika kama mtu niliyepita barabara hiyo mapema, FIRST THINGS FIRST.

Matatizo ya kimaisha yamekuwepa, Yapo, na yataendelea kuwepo-kujipa umessiah ni kujidangaya!
Sasa huu ushauri ninompa si kwa sababu ya kisiasa ,la hasha, ni ushauri wa kimaisha tu.
 

Wale wale, akina nape na ridhiwan, soma maelezo vizuri, kijana hakukimbia shule, leteni ukombozi chadema, achaneni na magamba, hilo gamba ni kukupotezea muda tu, wangapi wamepita ubungo na hamna chochote walichokifanya mfano wakina KEENJA sijui kehenja ambalo ni magamba yale yale, Tunakushukuru Mnyika angalau jitihada zinaonekana,kuliko yangekuwa magamba hayo
 
mary mary Kweli wewe Mary Mary ....Muongezee riz1 kuwa DR. aliyemfanyia mazingaumbwe alipodisco mlimani baba yake kamzawadia ujaji...sijui anatoa wapi uhodari wa kuhoji elimu ya Mnyika !
 
Last edited by a moderator:
mr Nape Mnauye na mr Riz1 Kikwete,kwanza kabisa inabidi mkubali kuwa bila nafasi za wazazi wenu tusinge wajua wala kuwasikia,riz may be ungekuwa huko bagamoyo ukifanya kazi ya uganga,na nape sijui ungekuwa wapi,pili naomba muongee mambo yanayo wahusu wananchi ,yaani matatizo ya wananchi hususani wewe nape,elimu ya mnyika haina umuhimu wowote na maisha duni ya watanzania,na wewe riz hauna kazi za kufanya,si nasikia una makampuni kibao,na mwisho sisi wananchi wa ubungo tumemchagua mnyika si kwa sababu ya elimu ...no.,hata kama mnyika angekuwa amuishia darasa la saba tungemchagua tu.....riz kuna stori zako kibao may be tuanze kuzijadili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…