Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

John Mnyika,

Si ungesema tu kuwa ni kweli umesoma mpaka kidato cha sita na umejaribu mara kadhaa kujiunga na chuo kikuu lakini hujafanikiwa kumaliza.

Pumba nyingi mchele kidogo. Ngonjera zote za nini? naona unamatatizo zaidi ya huo "mtanziko" uliousisitiza huko juu. Nakuuliza hivi? umeshawahi kuonana na daktari wa magonjwa ya uchizi "psychiatrist"? kama bado, nakusihi uonane nae haraka sana, unaonesha una matizo makubwa zaidi ya "mtanziko".
 
afadhali umemjibu yule f...., sema umesahau kumkumbusha akatafute wazazi wake kwanza.
 
It's people like you who give hope to this country.
Hua unanfanya nijisute sana!
Maana nina one za maajabu frm 4 na 6, gpa 4.5, masters thesis ambayo nahis inaweza nifanya nipate PhD, halafu impact yangu kwa society ni almost zero halafu tuna umri sawa kabisa.
When I look at you its like am looking in a mirror but the reflection I see is better than me.
 
John J. Mnyika, wewe ni shujaa wangu. Wewe sasa ni Profesa. Nadhani mtu pekee kwenye serikali ya Kikwete anaweza kukusikiliza na kukuelewa unachosema ni Profesa Muhongo. Hakua mwingine yeyote maana hata wale wenye upeo mkubwa na uwezo mzuri wa akili wamepumbazwa na unafiki na uzandiki na wamebaki kuwa watumwa wa akili na nafsi zao maana wafanyayo mchana, usiku huwakosesha usingizi. Hata wawezapo kufisha nafsi zao mchana, usiku hujikuta wanakosa usingizi wakijutia unafiki wao. Lakini wafanyeje wakati wameshaapa kuulinda ubazazi na uzandiki? Zidumu fikra zako makini na za kizalendo. Udumu milele JJ, wanaokushangaa sasa watashangaa zaidi utakapokuwa RAIS wa Taifa hili tena kwa kuchaguliwa kwa kura nyingi. Mungu aniongezee muda wa kuishi nikuone ukiwa rais wangu.
 
Wamekusifia kwamba umeandika lakini mimi sioni cha ajabu, unajaribu kuandika historia ya kuumba ili kukuonyesha kwamba umejengwa na ushujaa wa kutaka kuwatumikia watu, au kwa kifupi unatuonyesha kwamba ulikuwa mwanaharakati sawa! hiyo haikuzuii kusoma na kama kweli ulipata A9 form four na ukapata Div 2 form 6 hata kama ungefanya mtihani kwa kujisomea ukiwa kwenye vikao vya Bunge sasa hivi tungekuwa tunakuhesabu kwenye PHD, nashawishika kudhani kwamba si ajabu hata hizo A9 ni za mitihani ya kununua na ndiyo maana hukutaka kubanduka Dar ambako ndiko kumejaa wataalamu wengi wa wizi wa mitihani hasa wakati wa enzi za kusoma kwako. unaweza ukawa na moyo wa uzalendo na huruma lakini kama huna ujuzi wa kuogelea huwezi kumuokoa anayezama na kwa maji. nenda shule kasome ushinde uzibe kimywa cha Nape na Riz vinginevyo 2015 hupenyi huna sifa ya kuwakilisha Ubungo.
 
Nyie ndio yale manyang'au mnaoshabikia mavyeti ya rizimoko na nepi wake lakni watoto wenu wamefeli asilimia 80 na mnashangilia kama mazuzu,Keep it up kamanda Mnyika daima tupo nanyi na hakika una akili ya kuzaliwa.......

Kweli nimeangalia zile picha za matukio ya mikutano ya TEMEKE, GOBA na LINDI mwisho wa wiki nikakata tamaa kama kweli Tanzania itajapata ukombozi wa pili. Wananchi wamechoka ile mbaya na mazingira ya makaazi ni duni mno utafikiri ni zama za late stone age lakini bado wapo wanawashangilia magambas!!!
 
Kamanda Mnyika, songa mbele! Ni mtu mjinga na mpumbavu pekee ndiye anayeweza kuhoja uwezo wako kiakili. Songa mbele kamanda, tuko pamoja nawe
 
Mimi nilitamani sana ujibu haya uliyojibu ili nione sasa utekelezaji wa ilani ya CCM ukifanyika maana inaonekana elimu yako ilikuwa kikwazo kwa ilani hiyo kutekelezeka. Hongera mnyika.
 
chayowa,
huyu rafiki yako anadanganya hakupata daraja la pili.

nawaonea huruma wanaomshangilia huku anajuwa ni uwongo. hili la daraja la pili iko siku litalipuka.

hakuwa na point za kuingia vyuo vikuu ndio maana akaishia masomo ya jioni.





 
Mkuu endelea kuwapa elimu ya uraia wajitambue,nepi na masisiem hata kama wametunyima elimu ili watutawale hakika tutaamka na hawatatushinda kamwe ni wadogo kama tone ndani ya bahari.....ipo siku UMMA utaamka na kusema unyanyasaji baaaasi...
 

Nawe una cheti lakini haujaelimika hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuongoza na Kuwa na maDegreee.
 
Wewe una daraja la ngapi? Unajua maana ya masomo ya jioni na ili usome unahitaji sifa zipi, kwa course zipi, ktk chuo gani?

chayowa,
huyu rafiki yako anadanganya hakupata daraja la pili.

nawaonea huruma wanaomshangilia huku anajuwa ni uwongo. hili la daraja la pili iko siku litalipuka.

hakuwa na point za kuingia vyuo vikuu ndio maana akaishia masomo ya jioni.
 
mhhhhh! salute kwako, i knw wazazi wako watakuwa wanajivunia kuwa nawe kama mtoto wao. naamini nape and co watajua kuwa elimu zao za jandoni hazipo applied kokote zaidi ya chumbani! na wala hazina vyeti!
 
Tumekusikia Kamanda. Chapa kazi achana na hao mavuvuzela.

Mnyika nilikuwa na hasira sana na wewe.nakumbuka mwaka 2005 pale Ubungo wananchi tuliambizana kumpigia kura form six wa chadema na tukakupigia na ukashinda.ilitokeaje hadi ukamwachia ubunge mzee Keenja tena?bahati yako ulikuja kushinda 2010 ingawa nilishahama huko lkn roho yangu ilitulia.nataka kuwatumia ujumbe tu jamaa zetu waelewe kuwa ktk chaguzi zile slogan ya wananchi ktk kuhamasishana ilikuwa TUMPIGIE KURA FORM SIX JAMANI!na kweli walipiga na ulishinda.swali langu kwa hao mabwana wadogo Nape na Riz na CCM kwa ujumla wajiulize ilikuwaje Watu waambizane kumpigia kura form six na kuwaacha wenye digrii zao?halafu niulize swali kidogo,hivi kwa nini mnamuhoji Mnyika?mbona hamzungumzii ya akina Mudhihir wakati wanaingia bungeni?acheni siasa za DAWASA,lol!
 

Kamanda Mwita Maranya,

Rizone ni wakili,kwa sasa yuko na Kampuni moja ya Mawakili inaitwa GRK Advocates,kabla ya hapo alifanya kazi IMMMA Advocates kule kwa akina Masha,Maggai,Mujulizi (ambaye naye alipewa fadhila za Ujaji na mkuu).Nakumbuka kwa kuwa IMMMA wana ushirikiano na Kampuni nyingine ya uwakili ya nje ya nchi kuna kipindi mmoja wa maafisa wa Kampuni hiyo alipokuwa Tanzania hapo IMMMAalisema wazi kuwa "Rizone could be somebody else but not a lawyer".Dada mmoja yuko pale ambaye ni Wakili pia anaitwa Linda Mulungi ni shuhuda wa haya ninayoyasema.That having been said,I have neither seen nor heard a landmark case handled by Rizone in which he won. Rizone amshukuru sana Dr. (sasa Profesa) Hamis Ibrahim Juma ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria UDSM vinginevyo asingeihitimu Shahada ya Sheria pale.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda wangu Mnyika,asante sana kwa majibu na taarifa yako ILA nakushauri usihangaike na kujibizana na hawa mavuvuzela, utakuwa unapoteza muda wako bure. Hii mijamaa haina kazi zaidi ya kubaki ikiongelea watu badala ya kuhangaika na ISSUES zinazohusu mustakabali wa nchi hii. Narudia tena, umefanya vizuri ila daima achana kabisa na utaratibu wakutaka kuwaridhisha watu wasokuwa na MADA ambao wanahangaika na kutrigger unfounded and ungrounded debates and discussions!!!!
 
kijana kapata A tisa , huo ni uthibitisho tosha wa uwezo wake , achana na degree za mjomba za profesa jaji aliyekuwa mkuu wa kitivo
kumbe jamaa kichwa kawazidi hadi maprofesa kwa matokeo hayo A _9
 
Kasumba za kusaka vyeti na sio taaluma wala elimu ndiyo inayosumbua. Watu wanazuzuka sana na vyeti tu, ikifika kwenye kutumia hiyo elimu hawana kitu kabisa kichwani ni weupe. No wonder wizi na forgery hazitaisha, ndio maana wengine hata wanatumia majina ya wenzao ili waonekane wana elimu!
Nawe una cheti lakini haujaelimika hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuongoza na Kuwa na maDegreee.
 
nchi hii imekombolewa na watu wa darasa la nne na la saba,siasa za tanzania hazina haja ya kuangalia elimu ya mtu,maana hao wenye elimu ndio waliotufikisha hapa,kusaini mikataba mibovu kulifanywa na watu wenye elimu zao.
mimi sioni umuhimu wa kulumbana ktk swala la elimu kama tu,hatusimamii vyema sheria,taratibu na katiba tulizojiwekea.
elimu haina maana kama aliyektk nafasi na ameshindwa kutatua matatizo ya wasio na elimu na kibaya zaidi unakuta asiye na elimu ndiye mwenye kufanya vizuri zaidi ya mwenye elimu hususani ktk maswala ua uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…