Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

Nikufikirishe kidogo...South Africa ambayo ina wazungu kibao..wa south kibao wapo nje..Tajiri no 1 dunian ana asili ya south..mboma wasanii wao hawa hit kama wa Nigeria? Au hawaimbi kingereza wanaimba kizulu[emoji849]?
 
Mpaka tapeli kubwa mitandaoni ni mNaija. Sasa tutawaweza vipi hawa wajuba. Tupambane tu kivyetu, hawa jamaa ni habari nyingine.
 

List the shows. List the venues. List the dates okoa nguvu na muda.

Singeli ni mziki wa wapi na umefika wapi?

Vp tasnia zingine wabongo mpo wangapi au napo hamna identity yetu? Nimelist soka players na NBA players kwenye uzi wangu, nitajie wabongo. Bado finance and technology

If you can't name the names I rest my case.
 
Nikufikirishe kidogo...South Africa ambayo ina wazungu kibao..wa south kibao wapo nje..Tajiri no 1 dunian ana asili ya south..mboma wasanii wao hawa hit kama wa Nigeria? Au hawaimbi kingereza wanaimba kizulu ?

Ni nadra sana kumkuta msouth anaishi nje ya nchi yao permanently.

Network ya wanaija runs deeper than ya wasouth. Wasouth wapo nchini mwao tu.

Kuna almost 1M Nigerians in the US pekee, wasouth inawezekana hata elfu20 hawafiki.

Nitajie wachezaji wakubwa wa michezo wasouth Africa? Nitajie prominent fiqures kutoa SA 10 tu afu angalia Nigeria kila sekta uone kama utakosa.

Kuna wasouth wangapi bongo afu uliza wanigeria upelekwe hadi viwanja vyao hapo hapo bongo.

Musk alizalowa SA ila he doesn't give a single fck about it. Hata kuitamka tu hataki it disgusts him.
 

Asante. Sijui watu wanashindwa vp kuelewa hii concept. The bigger your presence in other sectors, the more opportunities.
 
Fella Kuti wakati anapiga shows MGM Grand Arena kina Marijani na Mbaraka Mwinshehe walikuwa wanapiga shows DDC Kariakoo au lango la Jiji au Amana Bar Ilala.

Watasema Mbaraka na Marijani hawakua na identity.
 

Word.
 
Wakongo walishatoboa kimataifa Ndugu Mdau. Mpaka Bongo na Africa Mashariki yote walishaiteka kwa muziki wao. Kwa aina yao ya muziki wao ni bendi zaidi tofautisha na hiki kitu kinaitwa "muziki wa kisasa wa vijana" huu anafanya mtu mmoja jukwaani.

BTS sio band? Unaweza fananisha na band gani ya Congo? Naongelea international recognition nje ya East Africa.
 

I couldn't agree more.
 
Hata wa tz waliofika huko wachoyo balaa kutoa connection kwa wenzao wanajiona wamefika sana mtu ukimsalimia anajibu kwa mbalii kama vile ndio mtoa VISA labda Kuna huyu jamaa mkigoma bwana EBM naona kaamua kutoa fursa watu wapambane waende duniani huko kujichanganya.
 
Katika sentensi yangu nimeongelea muziki mkuu, ndo maana nimemtaja yeye kama top artist wetu, huo mpira siuelewi ndugu
Basi kama mpira hauulewi angalia hata fani nyingine uone Wapopo walivyotuacha mbali(doctors, engineers, pilots, fashion designers, movie actors/actresses, business personalities, radio/Tv presenters hapo nimetaja kwa uchache tu). Ni vizuri kufikiria kuchuana nao lakini ujue hatuwezi kama hakuna mikakati jumuishi, kutegemea tu talents za individuals peke yake hututaweza kuwafikia wala kuwakaribia.
 

Mkuu Asante sana for clarification. Inashangaza kuona watu hawaoni how these things are intertwined.

Wamekomaa na mziki lakini Mimi nilisema we fall short in each and every sector. Wanasema mziki hauna identity, sijui kuna identity gani in sports, finance, technology, medicine etc etc. Thanks
 
Nikufikirishe kidogo...South Africa ambayo ina wazungu kibao..wa south kibao wapo nje..Tajiri no 1 dunian ana asili ya south..mboma wasanii wao hawa hit kama wa Nigeria? Au hawaimbi kingereza wanaimba kizulu[emoji849]?
Artist ambaye Wazungu wanam-rate kwamba ni namba moja kutoka Africa ni Black Coffee and he is a South African, hit song ambayo imevunja records kwa nchi za Wazungu kutoka Africa ni Jerusalema and it's a South African track.
Tokea enzi za kina Huma Sekela, Miriam Makeba South Africa haijawahi kuwa nyuma kimuziki globally.
Tatizo la South Africans kwa ile lifestyle yao huwa wanaridhika sana na soko la ndani na ukiona katoboa international wengi inakuwa ni opportunity imemfuata mlangoni, US ukiuliza best hip hop artist kutoka Africa watakutajia Nasty C who is a South African.
Hivyo basi pamoja na kwamba hawako aggressive sana lakini wapo, mfano hawatoi movies nyingi kama Wapopo lakini movies zao ndiyo hutoboa kimataifa(globally) kuliko za Wapopo.
 
Kuhusu waSouth, naona wao mazingira ya nchi yao yanawaruhusu kupambana na kufanikiwa. Actually SA ina uchumi mkubwa na opportunities kuliko nchi nyingi za Ulaya Mashariki. Si ajabu hawa Waafrika wengine tunakimbilia huko.
 
Singeli ni mziki wa wapi na umefika wapi?

Mnahitaji identity gani kutoboa in sports, finance, technology etc etc.
Singeli una miaka mingapi!? By the way hatuwezi kufanana katika kila nyanja. Wakati wanariadha wetu wanafanya vizuri akina Ikangaa ,Nyambui na wengine, hao waNaija hawakuwepo.!?
 
Hata Wapopo wanachukua vionjo vyao vya Amapiano. Mfano mzuri Buga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…