Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Jitoe ufaham Tu [emoji1]

Mbagala ni uswazi na hakuna ustaarabu kuanzia majumbani Hadi kwenye daladala.

Nenda Mbezi ya Kimara pale stand halafu nenda stand ya Mbagala usipoona utofauti WA ustaarabu basi utakuwa na akili haziko timamu!

Mbagala ni pa hovyo Acha nyie wazawa na wazaramo mkae huko Ila sisi wahamiaji Bora tukakae Morogoro kuliko Mbagala
 
Rudi kijijini kwenu <katatue shida za maji mna'share maji ya kunywa pamoja na wanyama??
Unakuja hapa unajifanya unaijua dar!!!
 
Jitoe ufaham Tu [emoji1]

Mbagala ni uswazi na hakuna ustaarabu kuanzia majumbani Hadi kwenye daladala.

Nenda Mbezi ya Kimara pale stand halafu nenda stand ya Mbagala usipoona utofauti WA ustaarabu basi utakuwa na akili haziko timamu!

Mbagala ni pa hovyo Acha nyie wazawa na wazaramo mkae huko Ila sisi wahamiaji Bora tukakae Morogoro kuliko Mbagala
Ila unaongelea usichokijua, pale mbezi kilíchoibadilisha ni ile stend tu, ila kabla palikua pamabya kuliko. pale jirani na stand kuna msikiti, ule mtaa unaitwa kitopeni, huko kitopeni pasikie tu wakitu wa mvua, hapaendeki kwa mguu, pikipiki, bajaji wala gari.

Nilikua naishi eneo wanaita OG, ni shida siku za mvua ili utoke lazima utumie mbinu.
Ukiongelea mbezi mamepangika kuliko makazi ya mbagara maeneo gani, kule maduka ya mchele au eneo la msikitini au pale kwa gody, msipiti tu barabarani basi mkajifanya mnapajua mahala.

Hata mimi kilichonivutia kupanga mbezi, mwanzo ni pilika za barabarani kabla ya bomobomoa na ujenzi wa barabara lakini, mbezi huko ndani uwezi kutofautisha na manzese.
 
Nadhani mbagala ingekuwa mkoa tofauti na dar es salaam.
Ninaona kuna population kubwa sana ya watu.
Mbagala kuna foleni ya kutembea.
Nyomi la kule balaa.
Na wamejitimizia kila kitu huko tofauti na wa maeneo mengine kupata mahitaji mpaka uende mjini(kariakoo au posta)
 
IMG_20221004_182045.jpg

Hii nakataa kwa sasa Mbagala na Temeke hali ya usalama imeimarishwa tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi maeneo mengi mtu unaweza kutembea muda wowote bila wasiwasi hata matukio ya PanyaRoad hivi karibuni Mbagala ,Buza ,Yombo ,Temeke ,Chamazi sikusikia mahali kumetokea uvamizi wa Panya Road lakini Chanika na maeneo mengine huko kumeripotiwa uhalifu mkubwa wa PanyaRoad.
 
IMG_20221004_182149.jpg

-Hapa Jidu La Mabambasi amedanganya watu wa kipato cha chini tunajua vipi ? umefikia Kitunda ,Mburahati Tandale nk mbona maeneo ya mbagala wapo watu wengi wa kipato kikubwa .

-Kwenye machinga hapo karibia kila sehemu na ukizungumzia Dar biashara za machinga zimetawala sehemu nyingi hata mjini kabisa na sio mbagala pekee , na biashara kubwa nazo zinafanyika kea kiasi kikubwa hata mabenk eneo la mbagala,Majimatimu ,Charamba ,Mbande yapo kibao na hizo MiniSupermarkets na restaurants ndizo usiseme.
 
IMG_20221004_182213.jpg

- Kuanzia mbagala mpaka Kisewe nenda katafute eneo sasa utapata mrejesho

-Usafiri upo vizuri mjini unafika chap kuna magari ya kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya jiji la Dar kwa urahisi tena sasa hivi barabara ya mwendokasi na stendi kubwa inayojengwa tutarajie makubwa zaidi.
 
Marashi nampinga kabisa Uislamu unahimiza mtu kujitafutia kipato na unapinga umasikini kabisa kwanza katika nguzo Moja wapo ya Uislamu ni kutoa zaka utawezaje hali ya kuwa masikini ?

Hayo yote ya mbagala unayosema unahusisha na Uislamu ye kuna kufungua chochote cha uislamu kinacho sapoti tuhuma hizo ?
 
Attachments

  • IMG_20221004_182251.jpg
    IMG_20221004_182251.jpg
    23.6 KB · Views: 8
View attachment 2377180

-Hapa Jidu La Mabambasi amedanganya watu wa kipato cha chini tunajua vipi ? umefikia Kitunda ,Mburahati Tandale nk mbona maeneo ya mbagala wapo watu wengi wa kipato kikubwa .

-Kwenye machinga hapo karibia kila sehemu na ukizungumzia Dar biashara za machinga zimetawala sehemu nyingi hata mjini kabisa na sio mbagala pekee , na biashara kubwa nazo zinafanyika kea kiasi kikubwa hata mabenk eneo la mbagala,Majimatimu ,Charamba ,Mbande yapo kibao na hizo MiniSupermarkets na restaurants ndizo usiseme.
Mkuu sikuchagia kwa nia ya kudharau maeneo ya Mbagala, bali kuonyesha uhalisia wa kwa nini ardhi ya Mbagali bei iko chini.
Eneo karibia lote ni unolanned settlement.
Kule unapata viwanja hadi mita 5 kwa mita 5.
Viwanja kama hivyo vinakosa thamani maana hakuna uweezaji wenye tija hapo.
 
Nimesoma kijitonyama primary school badaye nikahamia buza secondary nikasomea huko Kama hutaki Basi,uzuri ni kuwa haunijui sikujui sinachochote ninachohitaji kwako.
Unapajua buza sigara? TCC walinunuaga eneo wakajenga nyumba wakawauzia wafanyakazi waoo,pembeni Kuna watu wengine wamejenga,eneo Hilo no buza Ila unadhani pako Kama tegeta gereji? Au kunduchi mtongani? Au nyie ndio mmekuja mjini mmekaa kidogo mnajua kila anyeishi yombo hapa hela? Unapajua yombo Malawi?
Duh Motivational speaker mmeshaanza Sasa.
Duh Motivational speaker mmeshaanza Sasa.
 
Jitoe ufaham Tu [emoji1]

Mbagala ni uswazi na hakuna ustaarabu kuanzia majumbani Hadi kwenye daladala.

Nenda Mbezi ya Kimara pale stand halafu nenda stand ya Mbagala usipoona utofauti WA ustaarabu basi utakuwa na akili haziko timamu!

Mbagala ni pa hovyo Acha nyie wazawa na wazaramo mkae huko Ila sisi wahamiaji Bora tukakae Morogoro kuliko Mbagala
Kati ya makazi wa kimara anayekaa getoo anagombana na wapangaji wa kike kinunua umeme na mkazi was mbagala anayetembelea harrier ana nyumba yenye ukuta mrefu nanii mstaarabu?
 
Kama unataka kulia hivi.

Hata sisi tumezaliwa dar hadi ushuani na uswazi tumeishi wengine hadi mule ndani ya fensi ya lile jumba jeupe tumepiga usingizi.

Mbagala uswazi watu makini wenye mitikasi inaoeleweka hawezi nenda nunua kiwanja mbagala na barabara ya kule mbele kote kule

Utawakuta bagamoyo road au morogoro road.

Kama anao mkwanja mrefu atakuwa kitaa ya obey, masaki, mikocheni, downtown nk

Mbagala kule ushenzini[emoji1]
Vipi kuhusu wanaojenga magorofa maeneo ya Temeke na kuishi huko nao hawana helaa?
 
Rudi kijijini kwenu Unakuja hapa unajifanya unaijua dar!!!

Huwa sibishani na vichaa mnaokaa Mbagala
 
Back
Top Bottom