Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Kati ya makazi wa kimara anayekaa getoo anagombana na wapangaji wa kike kinunua umeme na mkazi was mbagala anayetembelea harrier ana nyumba yenye ukuta mrefu nanii mstaarabu?
Wewe unaekaa Mbagala Una gari au unashika bomba za DCM au EICHER !

Kubalini watu WA huko mmejaa upuuzi kichwani hakuna busara!

Karibu salasala ujifunze watu wanavyoishi
 
Mkuu sikuchagia kwa nia ya kudharau maeneo ya Mbagala, bali kuonyesha uhalisia wa kwa nini ardhi ya Mbagali bei iko chini.
Eneo karibia lote ni unolanned settlement.
Kule unapata viwanja hadi mita 5 kwa mita 5.
Viwanja kama hivyo vinakosa thamani maana hakuna uweezaji wenye tija hapo.
Kajifunze ufundi alminium wewe poyoyo

Sasa tutakuja na picha za kila eneo tulinganishe au pia msaada wa google earth.

Hizi chuki Zina sababu sio bure.
Kwa nini Mbagala na wasiisemee Jimbo la Ukonga, Kibamba, Kimara,Kigamboni au Bunju na Tegeta yake bila kusahau Kawe.
 
Semeni yote ila mbagala sio sehemu salama ya kuishi mtu mstaarabu na anaye jielewa..huko ni sehemu ya kuchuma mali kwa masikini na wajinga waliojazana huko.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huwa sibishani na vichaa mnaokaa Mbagala
Kakatutue shida kijijini kwenu ndio uje hapa, kichaa ni ile jamii yenu ambayo mna'share maji ya kunywa pamoja na wanyama.
Umetoka kijijini kwa msaada wa elimu umefikia salasala unajiona umefika umeshamaliza kila kitu.. Hiyo salasala yako naijua nje ndani ina nini cha ajabu zaidi ya mbagala?
 
Semeni yote ila mbagala sio sehemu salama ya kuishi mtu mstaarabu na anaye jielewa..huko ni sehemu ya uchuma kwa masikini na wajinga waliojazana huko.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Endelea kushikilia remote ya shemeji yako kifupi mbagala hauijui haijawahi kufika zaidi ya story unazosikia.washamba wa mikoani mna shida sana
 
Wewe unaekaa Mbagala Una gari au unashika bomba za DCM au EICHER !
Ndio ulivyokalilishwa kuwa kila anayeishi mbagala anapanda DCM
Kubalini watu WA huko mmejaa upuuzi kichwani hakuna busara!
Kama ni upuuzi nenda kijijini kwenu kawaondolee wazazi wako upuuzi na fedhea za kunywa maji yalichanganyika na vinyesi vya wanyama
Karibu salasala ujifunze watu wanavyoishi
Hapa salasala unapotamba wewe ulipofikia baada ya kutoka Kijiji kwenu mpala kyala sisi tumeishi zaidi ya miaka 15
 
Sasa tutakuja na picha za kila eneo tulinganishe au pia msaada wa google earth.

Hizi chuki Zina sababu sio bure.
Kwa nini Mbagala na wasiisemee Jimbo la Ukonga, Kibamba, Kimara,Kigamboni au Bunju na Tegeta yake bila kusahau Kawe.
Mbona bila kutarajia kuna waliojikuta wameshajibu tayari?!!!! Wamesema hawakupendo huko kwakuwa kuna Waislamu wengi na watu wa kusini. Hiyo ndo sababu yao mkuu, ulishaona kuna jema lolote linasemwa kuhusu watuvwa kusini?!!!!
 
Mbona umeweka picha za yombo vituka..

Yombo vituka ardhi yake imepimwa na serikali sehemu kubwa.

Ni viwanja vichache viko kienyeji enyeji
Nashangaa[emoji24] kwani Vituka ipo Mbagala?
 
Hii kitu wengi wanaamini ule wimbo wa Diamond wa "....huku kwetu Mbagala...hapa nyumba..jalala..." Bila kujua aliishiwa mashaili akalazimisha vile ili wimbo utoke.
Machiz wakachukulia Mbagala ni eneo duni kuliko yote mjini Dar. Cha kushangaza kuna wasanii wanaoishi huku badala ya kumpinga kisanii, wakakimbia kutafuta nyumba za kupanga Mbezi.
Nimekulia kinondoni Toka mwaka 1992 naijua DAR ndani-nje watu wengi wanadharau mitaa tunayoishi ya mbagala bila kujua undani wake na ukiona MTU anaponda mitaa yetu ya mbagala ujue hiyo ni WAKUJA HAPA MJINI...
Nimegundua wengi hapa jukwaaani wamekuja mjini Kwa fuso za nyanya ndiyo maana hawajui kitu kuhusu DAR
 
Wewe unaekaa Mbagala Una gari au unashika bomba za DCM au EICHER !

Kubalini watu WA huko mmejaa upuuzi kichwani hakuna busara!

Karibu salasala ujifunze watu wanavyoishi
Boya wewe,tatizo wengine mmekuja mjini ukubwani mmetoka mjini mmeletwa na shule(dar hata ndugu huna) umeajiriwa umepata vihela kidogo,kwakuwa sehemu za kutembea haina unaishia kupita barabara kuu tu unajua mwendokasi na eicher tu tatizo umekuja mjini ukubwani unajiona mwenyeji kuliko uliowakuta, wengine hiyo salasala tunaijua toka wewe ukiwa kijijini hata leo tunakuja tembea Sana watu wa kutembelea tunaoooo....
....
....
Swali Kati ya mtu anayekaa buza sigara anatembelea anamudu kutembea harrier na mtu anayekaa salasala anayepanda ericher ya mbezi makumbusho kupitia goba daily Nani anatumi usafiri Bora? Nani anaishi vizuri?
 
tunakusbir mtetezi wanaishusha hadhi sana mbagala au Texas
Mbagala ni South Afrika ya Dar m-bishe msibishe itabaki kuwa hivyo!! . Kipindi cha single road watu wanaingilia dirishani walikua na hoja za kuongea. Barabara iliboreshwa na wale nyani wa kuingia ndani ya basi kupitia dirishani wakaamia Kimara Mwendokazi, wasemaji kimya hoja za kuiponda Mbagala zikawaisha.
Sasa Mbagala inajengeka na hakuna eneo lenje ardhi nzuri kwa makazi hapa Dar kuliko Mbagala. Jiji likiteseka na maji kutokana na tatizo likitokea mitambo ya Dawasco, Mbagala inabaki stable hasa kwa kuwa kule asilimia kubwa maji chini ni wanaita baridi, hayana chumvi. Hii ni kuelekea mpaka Mkulanga. Siri hii wengi hawaijui sababu waliingia Dar kwa kushushwa na basi pale Ubungo terminal wakapanga na kuishi kimara kujenga huko basi wanaisikia Mbagala juu juu.
Mtu mwenye pesa aliejenga Mbagala huwezi msikia akipiga kelele za maji humu, wengi wamejifungia na visima vyao wanamwagilia bustani zao bila shida.
 
Wewe unaekaa Mbagala Una gari au unashika bomba za DCM au EICHER !

Kubalini watu WA huko mmejaa upuuzi kichwani hakuna busara!

Karibu salasala ujifunze watu wanavyoishi
Ninatembelea gari boyaa wewe na nimeshaaendesha gari za Aina tano tofauti.
Ndio maana Nina kwambia acha ujuaji wa kijinga
 
Kuna mambo kadhaa yanaiheshimisha wilaya Kinondoni kuliko wilaya ya Temeke

(1) MAENEO YA KISHUA
•Ukija na list ya maeneo ya ushuani mengi yako wilaya ya Kinondoni

(2)VIWANJA VYA KULA BATA NA BURUDANI
•Ukitaja maeneo ya starehe yenye hadhi kwa Dar mengi yako Kinondoni

(3)NYUMBA ZENYE HADHI
•Hapa nazungumzia mijengo ya kifahari na ya kisasa. Temeke imeachwa kwa mbali sana

(4)KINONDONI INA MATAJIRI WENGI NA WENYE KIPATO CHA KATI
•Nadhani hapa wanangu wa wilaya ya Temeke sijui kama mtabisha

(5)BEI YA VIWANJA KWA SQUARE METRE
•Wilaya Kinondoni bei za viwanja iko juu

(6)MAENEO YA KUFANYIA SHOPPING, OUTING, MIGAHAWA MIZURI, HOTELS, LOUNGES, PUBS, NIGHT CLUBS, MADUKA MAKUBWA YA NGUO
•Ukizungumzia mambo kama malls, supermarkets na mini-supermarkets, na vingine vinavyohusiana na hapo juu wilaya ya Kinondoni ni mbabe kwa wilaya ya Temeke

(7)CELEBRITIES WAKUBWA, WANASIASA WAKUBWA, WAKURUGENZI KWENYE MAKAMPUNI MAKUBWA NA MASHIRIKA YA UMMA NA NGO's, MAPROFESSOR
•In short watu wenye hadhi wengi na wakubwa na waheshimiwa serikalini wanaishi wilaya ya Kinondoni. Sijui kama hapo wanangu wa Temeke mna la kubishia

(8)NI RAHISI KUZIONA NDINGA NYINGI KALI ZA GHARAMA UKIWA WILAYA YA KINONDONI KULIKO UKIWA WILAYA YA TEMEKE

(9)SHULE NYINGI PRIVATE ZA KISHUA HAPA DAR ZIKO WILAYA YA KINONDONI (kindergarten, daycares, primary hadi seco)
•Hii inaonyesha waliosogezewa huduma hiyo ni watu wa aina gani

Wanangu wa wilaya ya Kinondoni kama mna jambo la kuongeza ongezeni hapo na wanetu wa wilaya ya Temeke karibuni kuzipangua hizo hoja japo juu mkiweza
 
Endelea kushikilia remote ya shemeji yako kifupi mbagala hauijui haijawahi kufika zaidi ya story unazosikia.washamba wa mikoani mna shida sana
Pole sana..endelea kuishi mbagala chumba cha 10k.

Umasikini na ujinga ni chupi na trakle tena la malaya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo kadhaa yanaiheshimisha wilaya Kinondoni kuliko wilaya ya Temeke

(1) MAENEO YA KISHUA
•Ukija na list ya maeneo ya ushuani mengi yako wilaya ya Kinondoni

(2)VIWANJA VYA KULA BATA NA BURUDANI
•Ukitaja maeneo ya starehe yenye hadhi kwa Dar mengi yako Kinondoni

(3)NYUMBA ZENYE HADHI
•Hapa nazungumzia mijengo ya kifahari na ya kisasa. Temeke imeachwa kwa mbali sana

(4)KINONDONI INA MATAJIRI WENGI NA WENYE KIPATO CHA KATI
•Nadhani hapa wanangu wa wilaya ya Temeke sijui kama mtabisha

(5)BEI YA VIWANJA KWA SQUARE METRE
•Wilaya Kinondoni bei za viwanja iko juu

(6)MAENEO YA KUFANYIA SHOPPING, OUTING, MIGAHAWA MIZURI, HOTELS, LOUNGES, PUBS, NIGHT CLUBS, MADUKA MAKUBWA YA NGUO
•Ukizungumzia mambo kama malls, supermarkets na mini-supermarkets, na vingine vinavyohusiana na hapo juu wilaya ya Kinondoni ni mbabe kwa wilaya ya Temeke

(7)CELEBRITIES WAKUBWA, WANASIASA WAKUBWA, WAKURUGENZI KWENYE MAKAMPUNI MAKUBWA NA MASHIRIKA YA UMMA NA NGO's, MAPROFESSOR
•In short watu wenye hadhi wengi na wakubwa na waheshimiwa serikalini wanaishi wilaya ya Kinondoni. Sijui kama hapo wanangu wa Temeke mna la kubishia

(8)NI RAHISI KUZIONA NDINGA NYINGI KALI ZA GHARAMA UKIWA WILAYA YA KINONDONI KULIKO UKIWA WILAYA YA TEMEKE

(9)SHULE NYINGI PRIVATE ZA KISHUA HAPA DAR ZIKO WILAYA YA KINONDONI (kindergarten, daycares, primary hadi seco)
•Hii inaonyesha waliosogezewa huduma hiyo ni watu wa aina gani

Wanangu wa wilaya ya Kinondoni kama mna jambo la kuongeza ongezeni hapo na wanetu wa wilaya ya Temeke karibuni kuzipangua hizo hoja japo juu mkiweza

Uwepo wa vitu hivyo hauna maana kila anyeishi huko anapesa huko Kuna watu wanagombana kununua umeme kwenye nyumba za kupanga nao wanakaa kinondoni
 
Back
Top Bottom