Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndio maana nikasema mambo yanayoiheshimisha wilaya KinondoniUwepo wa vitu hivyo hauna maana kila anyeishi huko anapesa huko Kuna watu wanagombana kununua umeme kwenye nyumba za kupanga nao wanakaa kinondoni
Humu jukwaani watu wengi wana matatizo ya akili + njaa na ny.ege usiwachukulie siriaz utateseka buree
Kinondoni maeneo duni yapo mengi tu pia TEMEKE maeneo ya watu wakipato Cha Kati na Cha juu tu yapo mengi semaa hauijui Temeke,unapajua mbagala tuNdio maana nikasema mambo yanayoiheshimisha wilaya Kinondoni
Hivyo vitu vya kawaida kwenye nyumba za kupanga
Ila ndo hivyo wilaya ya Kinondoni ni zaidi ya wilaya ya Temeke katika nyanja nyingi tu
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.Kinondoni maeneo duni yapo mengi tu pia TEMEKE maeneo ya watu wakipato Cha Kati na Cha juu tu yapo mengi semaa hauijui Temeke,unapajua mbagala tu
...mfano was maeneo duni Sana ya kinondoni
1)
.Kawe Mzimuni uswaz Sana pameachwa mbali Sana na Mbagala yote kwa Ujumla
2.Tegeta kwa Ndevu eneo la Msichoke ni hatari na ukabaji ni Jambo la kawaida hakuna Barabara za kupita mavi hovyo hovyo kutapakaa mitaani Miguu ya kuku na utumbo kawaida Sana
3.Tegeta Machinjoni mpaka Uwanja wa Panga ni hatari tupu hapafai kwa Maisha ya binadamu vibaka ni Wengi wanakaba mpaka Mchana
4.Kunduchi Mtongani ni Uswazi hasa hata viwanja Bei rahisi Sana no value at all. Huko Panya road normal Sana.
5.Bunju Usalama yaani ni Vituko tupu hapo wamechanganyika Malofa na wanaojiweza
6.Mbweni Maputo huko ni hovyo sijawahi Maisha ya ajabu Kama hayo hapa Dar es salaam
7.Msasani Maandazi Road Kama unataka kwenda shoppers hakika nawaambieni Mbagala Ipo juu Sana kuliko Hilo eneo yaani ni chafu Sana muda wote linanuka tope na vinyesi
8. Kinondoni Shamba yaani ni Uswahilini iliyopitiliza Hali ya kawaida
9.Mwananyamala kuanzia kwa sindano,kidile,Manjunju, Mama yako yaani ni Uswahilini huwezi amini macho yako kukabwa na kuvunjiwa ni kawaida
Ameshakubali huyo mwambie wajisifie vingine ila sio kuiponda sehemu asiyo ifahamu.Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.
Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke
Twende hatua kwa hatua
Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Hata mimi nimeliona. Wilaya ya Kinondoni hawaijui hao.Ameshakubali huyo mwambie wajisifie vingine ila sio kuiponda sehemu asiyo ifahamu.
Mzee hiyo comment ni ya kukuponda, Mimi nimezaliwa ward namba 14 Temeke.Hata mimi nimeliona. Wilaya ya Kinondoni hawaijui hao.
Ila ukiwakuta wazawa kabisa wa Temeke huwa wanakiri tu kwamba kule wanaishi uswahilini
Kwa hiyo hoja yako ni ipi mkuuMzee hiyo comment ni ya kukuponda, Mimi nimezaliwa ward namba 14 Temeke.
Nimekulia Mtaa wa Likwati Wailesi, na kusoma shule ya Msingi Miburani.
Ila sikubaliani na hoja zako[emoji109][emoji109][emoji109]
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.
Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke
Twende hatua kwa hatua
Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Chang'ombe eneo la Kati ya barabara ya chang'ombe kuelekea TCC club Hadi barabara ya uwanja wa taifaSawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.
Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke
Twende hatua kwa hatua
Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Nimezaliwa na nimekulia Afrika Sana sio Afrika Sana hi yenye madada poa wanaojiuza kipindi hicho hata saa sita usiku ulikuwa unaweza kupita na watu wa heshimaAmeshakubali huyo mwambie wajisifie vingine ila sio kuiponda sehemu asiyo ifahamu.
Mwananyamala kwa kopa,tandale kwa mtogole,manzese uwanja wafisi utapafananisha na mwanagati?Chang'ombe eneo la Kati ya barabara ya chang'ombe kuelekea TCC club Hadi barabara ya uwanja wa taifa
Ni huzushi na uongo mkubwa sanaBila kusahau #security wise ya eneo matter,Nina ndugu yangu amejenga mbagala,amehama na kununua Boko Kwa hela nyingi Kwa maswala ya usalama wake na familia.
-kama nataka kabwakabwa nenda mbagala.
Kwanza ncheke 🤣🤣🤣Chang'ombe eneo la Kati ya barabara ya chang'ombe kuelekea TCC club Hadi barabara ya uwanja wa taifa
Mtoni KijichiSawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.
Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke
Twende hatua kwa hatua
Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Mtoni Kijichi bado. Inaonekana wewe Mbezi Beach huijuiMtoni Kijichi
Maeneo niliyokutajia unayajua? Mbezi beach Kuna kipi cha ziada ukitoa magorofa,magari? Kwanza mbezi beach yenyewe uswahilini kupo.(tatizo mlokuja mjini mnajiona mnajua mji kuliko waliozaliwa).Kwanza ncheke 🤣🤣🤣
Hivi kweli Chang'ombe ya kuifananisha na Mbezi Beach?
Wewe kweli huu mjii bado
Kwanza ncheke 🤣🤣🤣
Hivi kweli Chang'ombe ya kuifananisha na Mbezi Beach?
Wewe kweli huu mjii bado
Naijua vizuri sana na nimewahi kuishi, tulikuwa na nyumba yetu kabisa tukauza.Mtoni Kijichi bado. Inaonekana wewe Mbezi Beach huijui
Mbezi Beach maeneo ya kwa Zena, Afrikana kuelekea kule white sandMaeneo niliyokutajia unayajua? Mbezi beach Kuna kipi cha ziada ukitoa magorofa,magari? Kwanza mbezi beach yenyewe uswahilini kupo.(tatizo mlokuja mjini mnajiona mnajua mji kuliko waliozaliwa).
Ngoja nikuekeze maeneo ya uswahi huko mbezi beach(braza wangu mmoja anakaa huko)...
Katika ukuta was kiwanda Cha Chemicotex ule upande was mwanzoni Kuna ile Barbara ukiinyoosha mpaka mwisho Kuna makaburi upande wa kushoto Kuna kanisa,ukitembea kuelekea upande wa kulia kwambele Kuna nyumba za kupangisha mpangilio upo hovyo kunanyumba za kupangisha za Bei nafuu Tena za Hali ya chinii
Dsm ukitaka kujua eneo limejaa wajinga wengi na umasikini hilo eneo utapata chumba cha buku 10..Kaa kimya mbagala hauijui