Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Mbagala hakuna kiwanja cha 5mil hata chamazi sasa hivi hakuna kiwanja cha 1.5mil..
Kwa sasa mbagala hauwezi kupata kiwanja labda ununue nyumba ubomoe
Aje kijichi hapa uwanja milion 30
 
Kama unataka kulia hivi.

Hata sisi tumezaliwa dar hadi ushuani na uswazi tumeishi wengine hadi mule ndani ya fensi ya lile jumba jeupe tumepiga usingizi.

Mbagala uswazi watu makini wenye mitikasi inaoeleweka hawezi nenda nunua kiwanja mbagala na barabara ya kule mbele kote kule

Utawakuta bagamoyo road au morogoro road.

Kama anao mkwanja mrefu atakuwa kitaa ya obey, masaki, mikocheni, downtown nk

Mbagala kule ushenzini[emoji1]
 
Nimekumbuka uzi wa KidukuLilo kwenye kikao chake na matajiri USA akaonyesha picha za mijengo yake Masaki , Ostabei na Posta na kuwaambia nchini kwao huko ndiko kuna wanakaa matajiri rafiki zake walihuzunika mno na kulia kuwa Tanzania kuna maisha magumu mno.

Sasa unakuta Jf mtu yupo kimara sijui ,Goba nk kuna maji shida ,usafiri shida anajiona yupo NewYork inasikitisha sana..
Kimara ya wapi maji shida.
 
Kidukulilo sasa anatumia Bill Lugano ,huyu mzee sijui alipotelea wapi!
 
Naishi mbagala chamazi mkuu huku nimejenga Toka Toka 2013 na siwezi kwenda kuishi wilaya nyingine zaidi ya temeke hasa huku mbagala..nafurahia Sana maisha yetu ya chamazi huwa nikienda mitaa yangu ya zamani kinondoni wanakuta ndugu zangu hasa wajomba zangu na mama zangu wadogo jinsi walivyochoka ni sifa Tu za kuishi kinondoni kwenye nyumba zao za urithi tena zimechoka.
Fusra za maisha zilizopo mbagala hauwezi kufananisha na sehemu nyingine hapa Tanzania
Mkuu naamini wewe ni mdar es salaam,kino,magomeni,k'koo,ilala wazaliwa wengi wa huko wamezeekea kufikia hadi kujukuu wakiwa makwao kwa ujinga kama huu wa kuamini sehemu kama mbagala ni kwa washamba
 
DAR inavituko Sana. Miaka miwili Sasa nipo Kaskazini ya Dar es salaam ngoja nikupitishe Maeneo hatari na kukabwa nje nje
1.Kawe Mzimuni uswaz Sana pameachwa mbali Sana na Mbagala yote kwa Ujumla
2.Tegeta kwa Ndevu eneo la Msichoke ni hatari na ukabaji ni Jambo la kawaida hakuna Barabara za kupita mavi hovyo hovyo kutapakaa mitaani Miguu ya kuku na utumbo kawaida Sana
3.Tegeta Machinjoni mpaka Uwanja wa Panga ni hatari tupu hapafai kwa Maisha ya binadamu vibaka ni Wengi wanakaba mpaka Mchana
4.Kunduchi Mtongani ni Uswazi hasa hata viwanja Bei rahisi Sana no value at all. Huko Panya road normal Sana.
5.Bunju Usalama yaani ni Vituko tupu hapo wamechanganyika Malofa na wanaojiweza
6.Mbweni Maputo huko ni hovyo sijawahi Maisha ya ajabu Kama hayo hapa Dar es salaam
7.Msasani Maandazi Road Kama unataka kwenda shoppers hakika nawaambieni Mbagala Ipo juu Sana kuliko Hilo eneo yaani ni chafu Sana muda wote linanuka tope na vinyesi
8. Kinondoni Shamba yaani ni Uswahilini iliyopitiliza Hali ya kawaida
9.Mwananyamala kuanzia kwa sindano,kidile,Manjunju, Mama Zacharia mpaka kutokea Tandale yaani ni Takataka tupu hayo yanayozungumziwa Mbagala ni nafuu Sana kuliko hayo maeneo yaani Mautumbo ya kuku ,vyoo kuzibuliwa hovyo, Pombe za kienyeji tena zilizolala siku tatu mpaka wiki zipo Mwananyamala
9.Nenda Mikocheni A maeneo ya nyuma ya Choppers plaza hutoamini macho yako yaani ni Uswahilini huwezi amini macho yako kukabwa na kuvunjiwa ni kawaida Sana.

Hizo zinaitwa Slums.
 
Mkuu naamini wewe ni mdar es salaam,kino,magomeni,k'koo,ilala wazaliwa wengi wa huko wamezeekea kufikia hadi kujukuu wakiwa makwao kwa ujinga kama huu wa kuamini sehemu kama mbagala ni kwa washamba
Hapa DAR hakuna porini wala mbali ebu fikiria enzi hizo pale lugalo military base,kipawa uwanja wa ndege na uwanja wa taifa Kwa mkapa zilikuwa ni maeneo ya pembezoni lakini hivisasa ni katikati ya mji
 
Mkuu hata mimi nimezaliwa, kusoma kuanzia vidudu mpaka degree yangu ya kwanza Dar ingawa kwasasa nipo kikazi huku nyanda za juu kusini Mbeya mkoa wangu wa originality by tribe kwa miaka miwili. Nipo tayari kushirikiana nawe kwa wale wote wanaopotosha kuhusu maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam.
Asante
 
Naishi mbagala chamazi mkuu huku nimejenga Toka Toka 2013 na siwezi kwenda kuishi wilaya nyingine zaidi ya temeke hasa huku mbagala..nafurahia Sana maisha yetu ya chamazi huwa nikienda mitaa yangu ya zamani kinondoni wanakuta ndugu zangu hasa wajomba zangu na mama zangu wadogo jinsi walivyochoka ni sifa Tu za kuishi kinondoni kwenye nyumba zao za urithi tena zimechoka.
Fusra za maisha zilizopo mbagala hauwezi kufananisha na sehemu nyingine hapa Tanzania
Na kukubali jirani, watu tujivunie maendeleo ya watu, siyo maendelea ya watu, kinondoni mimi kinondoni mimi, kaangalie chumba anachoishi sasa, kazi kubishana na wapangaji wa kike kununua umeme.
 
Na kukubali jirani, watu tujivunie maendeleo ya watu, siyo maendelea ya watu, kinondoni mimi kinondoni mimi, kaangalie chumba anachoishi sasa, kazi kubishana na wapangaji wa kike kununua umeme.
Pamoja Saanaa mkuu
 
Back
Top Bottom