Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Maeneo TCC club ilipo unapajua? Maeneo ya ndani yanayozunguka uwanja wa taifa unapande wa chang'ombe unayajua? Unafahamu kuwa nyumba nyingi nii gorofa binafsi na appartment zenye hadhi?
Yaani kwa kifupi ni kwamba hakuna eneo lolote Temeke lenye hadhi ya Mbezi beach, Bahari beach au Ununio
 
Naijua vizuri sana na nimewahi kuishi, tulikuwa na nyumba yetu kabisa tukauza.

Sasa tumehamia Mtoni Kijichi. Labda hiyo unayoijua wewe siyo hii ambayo maeneo yake yamepimwa na barabara zimepitishwa za lami.
Mtaa au eneo mliokuwa mnaishi Mbezi Beach panaitwaje?
 
Mtaa au eneo mliokuwa mnaishi Mbezi Beach panaitwaje?
Heee huamini ndiyo? Tulikuwa karibu na pale Oasis Club (wakati ule hakukuwa na majina ya mitaa), ikinyesha mvua madimbwi matupu lazima uwe na gari lililoko juu (IST, vitz zinakaa ndani)
 
Mbezi Beach maeneo ya kwa Zena, Afrikana kuelekea kule white sand

Au Kunduchi beach kwenda hadi Bahari beach kuanzia chuo cha NDC mpaka Uninio utapafananisha na Mtoni Kijichi mkuu?
Haha haha ukiwaunaelekea mbweni ukimaliza chuo Cha NDC Kuna maeneo ya uswahi yaani watu wanna maisha ya kawaida sanaaa fremu sio nzuri NI za kawaida mnoo nyingine zimechoka kwa mbele kidogo Kuna hospital na shule ya msingi.

..
...
Kiufupi nilichogundua NI kuwa mtoa post hajui maeneo mengi ya wilaya ya TEMEKE hata maeneo nilomtajia hajayafahamu maana hajawahi kufika yaani huwa au amewahi kupita ndani ya gari tu,hata huko anakokusifia hapajui vizuri.
..
Nunekutajia Hadi maeneo kwa kukuelekeza we hujataja Wala kupinga maeneo nilokutajia kwa kueleza..
Hebu niambie eneo la chang'ombe ambalo ni uswahilini?
 
DAR inavituko Sana. Miaka miwili Sasa nipo Kaskazini ya Dar es salaam ngoja nikupitishe Maeneo hatari na kukabwa nje nje

1.Kawe Mzimuni uswaz Sana pameachwa mbali Sana na Mbagala yote kwa Ujumla.

2.Tegeta kwa Ndevu eneo la Msichoke ni hatari na ukabaji ni Jambo la kawaida hakuna Barabara za kupita mavi hovyo hovyo kutapakaa mitaani Miguu ya kuku na utumbo kawaida Sana.

3.Tegeta Machinjoni mpaka Uwanja wa Panga ni hatari tupu hapafai kwa Maisha ya binadamu vibaka ni Wengi wanakaba mpaka Mchana.

4.Kunduchi Mtongani ni Uswazi hasa hata viwanja Bei rahisi Sana no value at all. Huko Panya road normal Sana.

5.Bunju Usalama yaani ni Vituko tupu hapo wamechanganyika Malofa na wanaojiweza

6.Mbweni Maputo huko ni hovyo sijawahi Maisha ya ajabu Kama hayo hapa Dar es salaam.

7.Msasani Maandazi Road Kama unataka kwenda shoppers hakika nawaambieni Mbagala Ipo juu Sana kuliko Hilo eneo yaani ni chafu Sana muda wote linanuka tope na vinyesi.

8. Kinondoni Shamba yaani ni Uswahilini iliyopitiliza Hali ya kawaida.

9.Mwananyamala kuanzia kwa sindano,kidile,Manjunju, Mama Zacharia mpaka kutokea Tandale yaani ni Takataka tupu hayo yanayozungumziwa Mbagala ni nafuu Sana kuliko hayo maeneo yaani Mautumbo ya kuku ,vyoo kuzibuliwa hovyo, Pombe za kienyeji tena zilizolala siku tatu mpaka wiki zipo Mwananyamala.

9.Nenda Mikocheni A maeneo ya nyuma ya Choppers plaza hutoamini macho yako yaani ni Uswahilini huwezi amini macho yako kukabwa na kuvunjiwa ni kawaida Sana.
Kwa hoja hizi Dar ni Zizi sio jiji
 
Haha haha ukiwaunaelekea mbweni ukimaliza chuo Cha NDC Kuna maeneo ya uswahi yaani watu wanna maisha ya kawaida sanaaa fremu sio nzuri NI za kawaida mnoo nyingine zimechoka kwa mbele kidogo Kuna hospital na shule ya msingi.

..
...
Kiufupi nilichogundua NI kuwa mtoa post hajui maeneo mengi ya wilaya ya TEMEKE hata maeneo nilomtajia hajayafahamu maana hajawahi kufika yaani huwa au amewahi kupita ndani ya gari tu,hata huko anakokusifia hapajui vizuri.
..
Nunekutajia Hadi maeneo kwa kukuelekeza we hujataja Wala kupinga maeneo nilokutajia kwa kueleza..
Hebu niambie eneo la chang'ombe ambalo ni uswahilini?
Hiyo Chang'ombe yote naijua sioni cha ajabu hapo Chang'ombe cha kusema ufananishe na eneo kama Mbweni au Bahari beach
 
Kwa zile njia ziko vile vile, labda kama zilipigwa grader lakini hata lami haina. Eneo lililoendelezwa zaidi ni lile pembezoni kwa barabara ile ya lami, lakini huku ndani sijaona lami.
Barabara nyingi kwa sasa zinachongwa na mpango uliopo ni ile barabara kupigwa lami baadaye
 
hapo zaman wazee wetu walikuwa kama sisi hv...yaani tunachagua pa kuishi hapa dar...baadhi yao wamekufa bila hata kibanda kuendekeza kukaa maeneo fulan japo uchumi wako mbovu
 
Maeneo karibia yote ya Temeke huwezi kukuta shida ya maji hovyo leo ITV taarifa ya habari saa 2 usiku ninesikitika kuona wakazi wa Magomeni wanalalamika shida ya maji na imekuwa ada yao.
 
Inaonekana kuna wakaazi wa mbagala wengi humu. Ila mbagala kuna watu jamani, mbagala sikai hata kwa kulipwa.
 
hapo zaman wazee wetu walikuwa kama sisi hv...yaani tunachagua pa kuishi hapa dar...baadhi yao wamekufa bila hata kibanda kuendekeza kukaa maeneo fulan japo uchumi wako mbovu
Ile mbezi Luis, kulikua kunaitwa mbezi shamba, maeneo bei rahisi sana, kulikua na mzee mmoja wa kusini, ukijitambulisha kama mtu wa kusini, akikubaliana na wewe, anakukatia eneo bure kabisa, Ila nenda mbezi Leo.
 
Bila kusahau #security wise ya eneo matter,Nina ndugu yangu amejenga mbagala,amehama na kununua Boko Kwa hela nyingi Kwa maswala ya usalama wake na familia.
-kama nataka kabwakabwa nenda mbagala.
Duh, kumbe hatari sana huko, hivi Mbagala na Kisemvule wapi pazuri kwa kujenga
 
Back
Top Bottom