Mimi binafsi nilihoji toka mwanzo kwamba mnataka katiba mpya ili iweje?Naungana nawe keama wanaodai Katiba mpya waanze na yanayowagusa watu wengi.
Madai ya Katiba mpya ni dhana potofu ya wanasiasa, wenye uchu wa madaraka, kwa kuamini kuwa itawapa uwanja mpana wa kuingia madarakani.
Kwenye Katiba iliyopo sijaona kifungu kinachominya Demokrasia, Haki na Uhuru nchini. Kama kipo naomba wadai Katiba mpya wakitaje
Tuko pamoja mkuu!Mpaka sasa hivi watanzania bado hamjui mnataka nini.
Wakati huu watu wanamsifia magufuli ambae walimpinga sana,lakini sasa hivi watu wanamsifia kwa misimamo yake hasa kuhusu chanjo.
Tehehehhe ndio maana simsikilizi mpuuzi yeyote anaejaribu kuniaminisha na kunilisha mabaya dhidi ya raisi yeyote yule.
Kama yote haya ulikuwa hujui na ulikuwa unatokwa povu kwamba ccm ni madikteta basi wewe ni mpumbavu!
Na siyo pekeako chadema wote mko hivyo huwa mnatokwa na mipovu kwa vitu msivyovijua!
Jinga kabisa.
Kwa hiyo madai yenu ya katiba ni kwa ajili ya tume ya uchaguzi tu?Rais kuchagua viongozi wa tume ya uchaguzi wakati hatuna marais waadilifu. Matokeo yake tume ya uchaguzi inafanya atakavyo rais. Na udhaifu huu tumeushuhudia kwa macho yetu.
Tuko pamoja mkuu!
Binafsi utawala wa JK na Magu umenifundisha mambo mengi sana kuhusu watz na sasa hivi hakuna mbwa yeyote ataniambia kitu nimsikilize! Ntatumia akili zangu.
Achane nae huyo!Ukweli halisi unathubutu kuuita uhuni, chadomo jifunzeni kuelewa mambo kwa kina dhana ya ukaidi na ubishi na kujifanya kujua sana kana kwamba mna akili nyingi sana mnajidanganya sana wajukuu zangu tunakuangalieni tu kwa macho yetu manne nyinyi vijana wa Djs na kazi ya Dj ni moja tu kupigisha disco kule mlio wengi mnakata tu mauno.
Poweplay .
Kawapa kitu kingine cha kuwa keep busy badala ya makelele ya katiba mpya now..
Sasa watakuwa busy 'free Mbowe now'..
Until further notice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poweplay .
Kawapa kitu kingine cha kuwa keep busy badala ya makelele ya katiba mpya now..
Sasa watakuwa busy 'free Mbowe now'..
Until further notice
Sasa kama watu waliacha shughuli zao zote wakaanza kupambana kusaini petition ili Diamond atolewe kwenye tuzo za BET hao watu wana akili kweli?Upinzani hawana Agenda wanayoipigania.
Ni Kama ngedere anayerukia Tawi hili na hili
Kama wangekuwa na Agenda moja wakaipigania mpaka ikakamilika huenda wangekuwa mbali.
CCM wanachoringia ni kuwa na Upinzani dhaifu sana
Huyo anakaa kwa shemeji yake hawezi kuelewa mambo makubwa kama hayoHujui Katiba inagusa mtu mmoja mmoja?
Walimtukana sana JK, alipotoka madarakani wakmshangilia weeeee huku wakumvurumishia matusi JPM, sasa amekufa wanaanza kumsifia na kumtukana Mama Samia. Akiondoka akija mwengine muendelezo ni ule ule tu.Mpaka sasa hivi watanzania bado hamjui mnataka nini.
Wakati huu watu wanamsifia magufuli ambae walimpinga sana,lakini sasa hivi watu wanamsifia kwa misimamo yake hasa kuhusu chanjo.
Tehehehhe ndio maana simsikilizi mpuuzi yeyote anaejaribu kuniaminisha na kunilisha mabaya dhidi ya raisi yeyote yule.
Mimi na familia yangu halituhusu.Tatizo la tozo linamgusa kila mtu, mbona halirekebishwi?
Hoja kwa hoja, hoja kwa hoja mkuu na wala sio matusi!Samahani mzee, naona hujavaa miwani yako ya kusomea, hivyo hujaweka nukta wala koma. Mtafute mjukuu wako akusaidie kuhariri huu uhuni ulioandika hapa.
Marais waadilifu ni kina nani?? Ni nini kinakuonyesha tulienae sio muadilifu?? Atapatikanaje huyo muadilifu?? Ni lazima huyo muadilifu atoke Chadema??Rais kuchagua viongozi wa tume ya uchaguzi wakati hatuna marais waadilifu. Matokeo yake tume ya uchaguzi inafanya atakavyo rais. Na udhaifu huu tumeushuhudia kwa macho yetu.
Wewe hii katiba imekubana wapi?Huyo anakaa kwa shemeji yake hawezi kuelewa mambo makubwa kama hayo
Chemsha chai anywe bwana ako awahi kaziniWewe hii katiba imekubana wapi?
Her excellency is very smart.Poweplay .
Kawapa kitu kingine cha kuwa keep busy badala ya makelele ya katiba mpya now..
Sasa watakuwa busy 'free Mbowe now'..
Until further notice
Leta hoja acha matusi!Chemsha chai anywe bwana ako awahi kazini