PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tulikua na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete,Magufuli hatukuwahi kudhalilishwa hivi.

Ulikua unategemea nini kingefuata baada ya kuwakamata raia wao wenye ushawishi kuwapiga na kwenda kuwatupa mpakani huku mkijisifu bungeni jinsi mlivyowatenda udhalimu?

Kanuni ni ile ile, Play Stupid Games, Win Stupid Prizes.
 
😂😂😂😂😂😂
 
Elimu yao imewafaa nn kama si kulumbana na kuosha vyombo uarabuni na ulaya
 
You are dam right
 
Jibu hoja zake kama ni za uongo kuhusu wabunge wa bunge la Tanzania,hapa umeweka taarabu na kukata mauno kuonyesha unajua na kusoma tu
 
Wana Hela ndo maana wanakuja kununua
 
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali

Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
 
Mwendazake hahusiki Kwa sasa. Tuliohai ndo wahusika ikiwa tupo hai tunapaswa kujirekebisha na kujikosoa.
 
Mungu Ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
 
I wish ningekuwa na namba ya huyu jamaa nimtumie hata hela ya Captain Morgan

Ameongea ukweli kabisa
 
Yan sijawah kuona watu waliopo kwenye mkusanyiko na wote kwa ujumla wakaongea utumbo kama kina abasi tarimba na hii ngombe ya zanzibar ambayo hata form 4 ilipata zero....
 
eddy Gicheru Oketch One love popote Alipo tuna mengi ya kujifunza kwao,, kwetu wanatutumia watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…