Yuko sahihi kabisa 100%"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Niliyemjibu anastahili jibu la namna hiyo, kwa mujibu wa bandiko ni siasa tu hizo people are looking for mileage nothing else.Jadili hoja, type yenu ndiyo inasababisha tudharauliwe.
Kwa hiyo mimi ni muuaji, nitake radhi brother. Kama na wewe unataka makofi kapige matako ya mkeo, au mwambie akupigie, aruke ruke akiwa amerelax mbona simple tu, utasikia makofi yakutosha tu ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½We upumbavu sana. Jibu hoja mnauwa watu mnataka mpigiwe na makofi wakakupigie watoto wako zezeta wewe.
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali
Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
MKuu ata South Afrika na Marekani huwezi kutembea usiku, Kununua Chakula ni kawaida ata Zanzibar wana nunua vyakula nje ya Nchi yao tena Wanafata China na Vietnam, Mchele, Sukari, Mafuta, Sabuni, Saruji, Maziwa, Tende. Kwahiyo usichangae Kenya kufata nafaka na Matunda na kupack na kuuza nje ya nchi yao.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Wacha watukanwe tu sababu hawajielewi.wananchi sisi tukae kimya tusijihusishe kabisa na ugomvi wao kwani hata hawatusaidii wananchi.sisi tuendelee na maisha yetu.watu wanauliwa lini wao wala hawaoni badala yake wanaoshabikia sasa hao ni wenzetu kweli?"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Tatizo Chama siyo katiba mbona Chama cha upinzani uwezi kukuta kimemteua mgombea darasa la saba au mwenye Elimu ya Secondary. Wajinga wengi wapo CCM na ndiyo wenye maamuzi,CCM wangekua Smart awa lasaba B wasingepata nafasi ya Kuwa Bungeni, CCM utakuta balozi wa Nyumba kumi ana Elimu kubwa kuliko MNECAcha kusingizia wansema sifa za Mbuge ajue kusoma na Kuandika hapo tatizo ni katiba
Mkuu Watanzania tunaonekana vichwa Maji yani wafanyabiashara wanakuja nchi kununua mazao kwa wakulima wetu baada ya kuwakumbatia huyu yeye ana washangaa na kuwazarau, baada ya kuchangamkia fursa ya kibiashara twende tukafungue maghara ya nafaka Kenya tunabaki kuwacheka.Hivi tunawapaga bure au wananunua?.
Tuache basi kuwauzia.
"Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?"
Wanafunzi wengi walio maliza shule za St Mary na nk walimu wao wengi walitoke Kenya, wakati nipo kijana mdogo miaka ya elf mbili Nyumba ya jirani yetu kulikua na wapangaji wawili mmoja Mtanzania na Mwingine Mkenya wote walikua ni wanawake, Huyu Mkenya alikua Mwalimu anafundisha East international school na huyu Mwingine alikua yupo yupo lakini kodi analipiwa na Mama yake, sasa kuna siku waligombana huyu Dada kutoka Kenya na huyu Dada yetu wa kibongo sasa huyu Dada wa kikenya akawa anaongea kiingereza tupu mimi na Mama tukawa tuna wasikiliza na atuabulii chochote, Sass huyu Dada yetu wa kibongo tukamsikia ana jibu kwa kiingereza na mwishoni akajibu ulijua mimi kiingereza mimi mwenyewe nisoma Nairobi akaangaza kuongea Kiingereza bila kupumzika, kumbe huyu Dada alisoma Kenya akaushia kidato cha pili baada ya kupata Ujauzito na kumbe Mama yake alikua Balozi nchi nje bila hivyo Mkenya angetamba nchini na ingetubidi tutafute mkalimani. Kwa kifupi waKenya wamekuja kutufundisha Kiingereza na tumeiga kwa mifumo ya Day care, Sisi tulikua na chekechea zetu ni kwenda kunywa uji na kusoma na kuandika tu,Tafiti nyingi zipo kwao
Wakati napita level ya MA niligundua materials mengi(tafiti) zipo kwao kwa hapa East Africa.
Hawa ndiyo vinara wa English Medium na sisi tupo nyuma yaoππ
πππππKanyooka kama rula. Kapiga kwenye mshono aliowashona Gwaji boy. Tulihisi sisi tu wa ndani, ndiyo tunayaona haya. Kumbe na watu wa nje ya hapa wanayaona hayahaya. Kweli uanze kujibishana na mtu kama Msukuma, yale mashangingi mawili kama viboko yaliyokosea njia.
Wanafunzi wengi walio maliza shule za St Mary na nk walimu wao wengi walitoke Kenya, wakati nipo kijana mdogo miaka ya elf mbili Nyumba ya jirani yetu kulikua na wapangaji wawili mmoja Mtanzania na Mwingine Mkenya wote walikua ni wanawake, Huyu Mkenya alikua Mwalimu anafundisha East international school na huyu Mwingine alikua yupo yupo lakini kodi analipiwa na Mama yake, sasa kuna siku waligombana huyu Dada kutoka Kenya na huyu Dada yetu wa kibongo sasa huyu Dada wa kikenya akawa anaongea kiingereza tupu mimi na Mama tukawa tuna wasikiliza na atuabulii chochote, Sass huyu Dada yetu wa kibongo tukamsikia ana jibu kwa kiingereza na mwishoni akajibu ulijua mimi kiingereza mimi mwenyewe nisoma Nairobi akaangaza kuongea Kiingereza bila kupumzika, kumbe huyu Dada alisoma Kenya akaushia kidato cha pili baada ya kupata Ujauzito na kumbe Mama yake alikua Balozi nchi nje bila hivyo Mkenya angetamba nchini na ingetubidi tutafute mkalimani. Kwa kifupi waKenya wamekuja kutufundisha Kiingereza na tumeiga kwa mifumo ya Day care, Sisi tulikua na chekechea zetu ni kwenda kunywa uji na kusoma na kuandika tu,Tafiti nyingi zipo kwao
Wakati napita level ya MA niligundua materials mengi(tafiti) zipo kwao kwa hapa East Africa.
Hawa ndiyo vinara wa English Medium na sisi tupo nyuma yaoππ
Chawa wa Bibi Uozo, huwezi kuandika tofauti na hivi.1.Ulitegemea aseme nini wakati maumivu amepata baada ya wahuni waliowatuma kuishia kwenye wheelchair?
2.Anadhani Watu ni wajinga kiasi kwamba tumesahau kuwa wanakula rushwa Ili kujipendekeza Kwa Ruto?
3.Kenya ni Nchi maskini ambayo inategemea Msaada wa kibajeto na wakati huo huo 70% ya Bajeti Yao inatumika kulipa madeni.
4.Wakenya Huwa wanajisifu kuongea kingereza Sasa jiulize inakuaje Nchi iliyoendelea na Ina kiingereza safi Hadi Leo hii inasumbuliwa na njaa Kila mwaka kiasi Cha kuuana wakigombea ugali mara Kwa mara ππ
5.Mwisho Kenya ni Nchi Kibaraka wa Wazungu na mda wote kazi Yao ninkukipendekeza huko ndio maana hakuna Kiongozi kutoka Kenya atagombea nafasi yeyote.
Watu wenye akili tegemezi kama hao wanaweza kuwa mfano Kwa nani?
Tuliwatandika wakati wa Kuhamisha Masai,tulitia kibiriti vifaranga na Sasa tumewatia bakora wamerudi kwenye wheelchair.
Bila shaka Sasa wameelewa kwamba Tanzania sio public toilet ππ
Nimeandika hoja Tano sijui wewe mungiki unatakaje labda?Chawa wa Bibi Uozo, huwezi kuandika tofauti na hivi.