PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiyo Nguvu yote ya kumwaga povu kisa kichapo walichopata hadi kurudishwa kwenye wheelchairs angeitumia kuirekebisha huku πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DKMU7uAOTaq/?igsh=MXM0YzMxZnlobWI4Yw==
 
Naam mkuu nimekupata kisawasawa
Nashukuru sana kwa nyama ya nyongeza
 
Wewe ni muuwaji kama unashangilia mauwaji tofauti yako ni nini na kuuwa?. Zezeta wewe. Unafikili kila MTU anawaza matako kama wewe.
 
Hiyo ya kununua mazao Sio hoja,hata sisi hatutengenezi Magari, Tunanunua!
 
Stuxnet, upo out of context. tunazungumzia Utawala bora na kujitambua bunge letu. Wewe unaleta mambo ya uchumi.
Unajua exchange ya Kshs to Tshs. ipo vipi? Hatuwezi jilinganisha hata kidogo na majirani zetu hawa wa kaskazini. Ni league 2 tofauti.
 
Slums mbona Dar ndo mahali pake!?
Manzese, Buguruni, Vingunguti, Kigogo n.k
Hizo siyo slums ni unplanned settlement. Shirikisha ubongo wako na teknolojia kisha andika kwenye google:

"Top 20 slums in Africa"

Ukiikuta Manzese au sehemu yeyote ya Tanzania, i-screen shot halafu iweke hapa
 
Stuxnet, upo out of context. tunazungumzia Utawala bora na kujitambua bunge letu. Wewe unaleta mambo ya uchumi.
Unajua exchange ya Kshs to Tshs. ipo vipi? Hatuwezi jilinganisha hata kidogo na majirani zetu hawa wa kaskazini. Ni league 2 tofauti.
Haya msikilize hapa Ruto akiomba msmaha kwa Tanzania baada ya sakata la Wanaharakati wa Kenya waliokuja Tz.


View: https://youtu.be/jGY1zaXHFQA?si=JwLTOfm3thxuMfgv

 
We kweli unawaza kama wabunge wako je unafikili hao wa Kenya wasipo kuja kununua chakula chako je utakila chote yye kaongea kuhusu wabunge wapumbavu na si wanainchi mbona huelewi ww
 
Kajifunze kuandika kwanza. Huna uwezo wa kujenga hoja
 
Upo sahii kabisa

Ila kumlaumu mwendazake pekee haitoshi pia lawama zimuendee huyu aliyepo alikua na muda mwingi wa kutosha kuyarekebisha haya na hii vita kaianzisha yeye kwa kutoka hadharani na kuwazungumzia wana harakati wa nje
Noma sana!
 
Hatar sana bandugu zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…