Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Wanatetea chama chao cha wezi na wanyanganyi."Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Hao ndio washauri wa mama..Kaanzai
Kaanzia Shule Ole na kamalizia Elimu hapo hapo Ole... 😄 😄
Aisee!"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Wewe naona ni 'Funza' kwelikweli.Twende mbele turudi nyuma wabunge wa Tanzania 70% ni vilaza mbumbumbu hata ukiwatetea vipi hakuna wa kukuelewa
Naunga mkono hojaIla kujua kusoma na kuandia ni sifa hafifu Sana ya kuwa mtunga Sheria.
Kenya wanatuzidi GDP na PER CAPITAL INCOME , lakini majority ya wananchi ni maskini kuliko wa TZ, wanainchi ni watazamaji wa mafanikio ya wachache (huge inequality)"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Sasa sijui kama ni kwa bahati mbaya tu umeyaandika haya maneno, au ni kwamba umejitahidi kutumia akili ndogo iliyomo kichwani vizuri kwa mara moja kama hii.Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!
Sasa kama unakiri kuwa "per capita income" yao ni kubwa; hao "majority ya wananchi kuwa maskini kuliko waTz..." unaitoa wapi?Kenya wanatuzidi GDP na PER CAPITAL INCOME , lakini majority ya wananchi ni maskini kuliko wa TZ, wanainchi ni watazamaji wa mafanikio ya wachache (huge inequality)
Na wewe unaona sawa watu watekwe na kuuliwa kwa ajiri wameongea? hujitambui wewe bado una slave mentality na hujui haki zako na za wengine, badilikaKwani huko kenya hayo hayafanyiki ? Mbona ww hujatekwa na kuuliwa? Tatizo watu wanakamdomo sana siku hizi kwa watawala waache yawakute
Kamdomo kako kinasababisha familia iishie kuitwa Yatima
100"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Tumuambie Jerry murro amjibu akishindwa Steve au hata doto magar tuTumtume IGP akamkamate au mnasemaje wadau?
Mimi nipo JF na sina stress.Sasa sijui kama ni kwa bahati mbaya tu umeyaandika haya maneno, au ni kwamba umejitahidi kutumia akili ndogo iliyomo kichwani vizuri kwa mara moja kama hii.
Hivi hadi sasa hujui kwa nini hali ipo hivyo?
Ukimtazama Samia Suluhu Hassan, alipo hapo, unaweza kufikiri kuwa kweli huyo mama aliweza kufikia hapo kwa 'merit'; uwezo stahiki wa kushika nafasi hiyo?
Sasa fanya hivi: kama kweli unayo GPA nzuri kama unayo jigamba nayo, anzia hapa kujuwa hao watu wote vihiyo wameweza vipi kuwa walipo sasa! Na hii yote, ndiyo sababu nawe umo humu humu JF kwa kutafuta wigo wa kutumia njia hizo hizo za kilaghai kujiinua.
Baada ya kusema hayo, nikufahamishe tu kwamba usifikiri "ubunge" ni nafasi muhimu sana kwa watu wenye akili zao nzuri kichwani.
While a rising per capita income can signal overall economic progress, it doesn't automatically guarantee a reduction in poverty or a better standard of living for the poorest segments of the population. High per capita income can be misleading if a small portion of the population holds a majority of the wealth, leaving many behind in poverty (case study in Kenya)Sasa kama unakiri kuwa "per capita income" yao ni kubwa; hao "majority ya wananchi kuwa maskini kuliko waTz..." unaitoa wapi?
Hujui maana ya unacho andika?
Umekwisha sahau mara hii, ulisha jitangaza mwenyewe kwamba kwenye maeneo ya hapo jirani na Kona, wewe unao wadhifa ndani ya CCM?Mimi nipo JF na sina stress.
Umeinakiri wapi taarifa hii; hata kuonyesha ulipo itoa hujui! Unataka tuamini kuwa haya ni maoni yako?While a rising per capita income can signal overall economic progress, it doesn't automatically guarantee a reduction in poverty or a better standard of living for the poorest segments of the population. High per capita income can be misleading if a small portion of the population holds a majority of the wealth, leaving many behind in poverty (case study in Kenya)
Poverty reduction in Tanzania has been driven by declines in rural poverty,
Fikra zako zinaonyesha wewe ni mmoja wapo mnaotutia aibu huko Kenya.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz