PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu umenena vyema sana. Ila ujue hatakama mimi, wew na yule tukishangaa hilo la watz kusapot wakenya dhid ya tz yao, bado tuko wachache sana.

Ila nkuhakikishie tuu kwamba kwasas hata viongoz wakipata madhira au majanga ya kibindamu tutashangaa comments zetu watz.

Na ukiona wengi wanacomment namna hiyo tuliza akili, vaa viatu vya wananchi halaf na vyaviongoz halaf uwaze katika dhamiri ya utaifa utaona kitu.
Nkwamba Falsafa ya utaifa na uzalendo kwa wananchi na viongozi vinaanzia pamoja ila vinaelekea opposite direction.
Hivyo tusposhtuka tunaweza tengana mazima mioyon.
 
Watz vibarua tu humo mashambani
 
"Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha" Huyu mbunge anajielewa
 
Kununua chakula na kilichoongelewa vinamahusiano?

Wewe na mshahara wako mzuri lakini kwa MANGO unaenda kukopa
 
Kwani sifa ya kuwa mbunge kwetu ni kujua kusoma na kuandika au ametia chumvi? Kama ndio hivyo basi unaweza usisome hata darasa 1 ila ukajifunza tu kusoma na kuandika ndani ya wiki na ukawa mbunge, tena kiswahili
 
Lilikuwa kosa la kiufundi,media zao zinachokea halafu mjengoni wanazaba za uso!!

Hii ni TKO!
 
Amezungumza ukweli mtupu. Abarikiwe sana.
 
Namlaumu sana mzazi aliekata viuno na kuleta hii nguchiro duniani,Bora hata angepiga nyeto tu!
 
Wapi huyo mbunge umeona kazungumzia mahindi na kutembea usiku Tanzania?

Yeye kasema kuhusu wabunge kuwa sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu kosa lake liko wapo?
 
🚮
Ni mpumbavu pekee anayeweza kutetea watekaji/wauaji wa Tanzania na washirika wao
 
Hawa wapuuzi bado wana hasira na spana za Samia kwa wale wapuuzi wanaharakati wao.

Wataongea kila aina ya ujinga lakini ukweli ni kwamba huwezi ukaleta siasa zenu huku TZ kwani hakuna Mtanzania anayeweza kwenda mahakamani Kenya kusikiliza kesi nyingi tu za serikali yao dhidi ya wanasiasa wao.
 
Ahaaaa nyie majibu yenu yanachekesha 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…