Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

Hakina wa kikichukia ila hata huku Ccm hatutaki mnagiki wa hivi lowasa mkubwa we
 
CHADEMA wanatutia aibu sana duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa unataka Rais afanyaje wewe Mbowe aliposema hatupo tayari kumpa muda rais kuhusu katiba maana yake ni kuwa watapambana nae.

Haya subiri Marekani watamtoa Mbowe.

Yeye alitangaza mapambano na Amir Jeshi , je alitegemea rais wa nchi atapambana naye kwa maneni au atapambana na vyombo vilivyo chini yake?
 
Wapumbavu tu. Wangewauliza kwanza hao marekani kama wamewahi kuandika upya katiba yao. Mavi kunuka vibaraka hawa. Sasa wanashitaki kwa ubalozi kwani serikali yetu inaweza amrishwa na ubalozi wowote uliyopo hapa nchini? Au ndio wanawaambia watanzania kwamba wakishika dola watakua wanajibu matakwa ya wamarekani kama vile nchi hii ni koloni la marekani.
Halafu wengine wakidai magufuli kauliwa wanaambiwa walete ushahidi. Hivi chadema nani kawaambia kufa magufuli ndio wao wawe wanaamini wamefanikiwa kubadili sera au itikadi ya ccm hadi sasa wanahamaki. Kwani hawajui ni ileile ccm ndio iko madarakani kwa ushindi mkubwa wa magufuli? Samia hana ubavu kuleta sera au kuingiza itikadi tofauti na ile ya ccm., Itikadi inayojali maslahi ya umma.
 
Kwamba hawawezi kusimamia haki zao wenyewe. Ya kwamba wanawaomba wamarekani wafwatilie haki zao.
Falsafa ya mtoto kupigwa na wenzake anakimbilia kusema kwa wengine. Huu ni utoto wa hali ya juu Chadema babies.
 
Chambua Mpira !!


Siasa hazitaki kukurupuka...

Kwa Marekani ,utake usitake, UTAPIGA GOTI TU.

hawajataka tu ,kwakua wanafaidika na mfumo mzima unaoendesha Taifa hili.
 
Chadema kama mnataka hiyo demokrasia mnayoitaka bc badilisheni muundo na aina ya mapambano yenu kwenye kudai hiyo demokrasia, bila hivyo bado mtaendelea kujiaibisha wamama wenye akili timamu kwa kulala barabarani.
 
Kwa hiyo umeona kabisaa kwamba hayo ni majibu ya ubalozi wa USA nchini Tanzania kwa BAWACHA? Yaani waandikiwe barua halafu waijibu barua hiyo kwenye TWITA..!!???
Hilo ndiyo jibu, kama mna majibu zaidi ya hilo liwekeni hapa kama mlivyoweka wazi barua ya kwenda kwa balozi.
 
Mnapopeleka mabakuri kwa mabeberu mnafanyaje? Hamjipemdekezi na kulamba hayo uliyoyataja?
Siko serikalini. Muulize balozi Mulamula siko ktk nafasi ya kujibu hilo..najibu nachokiona kwa macho kilicho hadharani ambacho ni mnyenyekezo wa chini kabisa below the sea level waloonesha bawacha huku wakiwapamba wa-Biden kwa sifa kedekede za juu kuliko mt everest..tell me how low can one go to be dumb and stupid like that
 
Ndo msubiri sasa mahakama itende haki. Kwanini wanashinikiza Marekani iingilie kati. Kwa hiyo wanataka waiingilie mahakama. Sasa demokrasia wanayoipigania iko wapi?
 
Kama hujui basi funga domo lako, unaweza ukadhani unawadhalilisha bawacha kumbe unawadhalilisha wapeleka mabakuri kwa mabeberu
 
Majibu ya balozi ni kwamba serikali ya Tanzania imefanya jambo la maana la kumpeleka Mbowe mahakamani kusudi atendewe haki - kwa maneno mengine anaipongeza serikali kwa kufuata rule of law!
 
Sasa hawa Bavicha wanakimbilia ubalozi wa Marekani kushtaki kwani Tanzania ni koloni la Marekani? Au Tanzania sio nchi huru inaingiliwa mambo yake na Mabeberu
 
hivi wangetaka kumdaka wangemsubiri mpaka amalize kampeni ? mbona wangeshamkamata muda mrefu sana jamaa anaogopa hadi kivuli chake hana lolote hakuna hata mtu alitaka kumkamata
Lisu alukuwa ana tafuta tu sababu ya kurudi kwa bwana zake sasa na nyumbu nao wanashangilia eti
 
Askofu Mwamalanga amekosa heshima kwa vyombo vyetu vya sheria.
naamini anafahamu kabisa kuwa chombo chenye kutoa Haki ni Mahakama, sasa anapata wapi ujasiri wa kusema Mbowe kabambikiwa wakati bado kesi haijasikilizwa na kuamuliwa?!
Hivi huyu askofu mwamalanga nafahamu ju ya utawala wa sheria?
Hadi Mbowe kuunganishiwa na wenzake tufahamu kuwa kuna ushahidi dhidi yake. tusubiri tuache vyombo vyetu vifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria.
 
Kama hujui basi funga domo lako, unaweza ukadhani unawadhalilisha bawacha kumbe unawadhalilisha wapeleka mabakuri kwa mabeberu
Kawaambie mwenyewe wizarani ..mi nadili na bawacha wenzako siku nyingine andikeni kwa kutumia akili kujidhalili namna hiyo kama ma clowns ni kichefuchefu..halafu wewe yawezekana ndo lile lidada bonge lilokuwa linajigaragaza kwenye lami na kilio cha yowe kuu ubalazoni kuomba mbowe aachiliwe
 
Kwa hiyo ndo maana halisi ya democrasia au akili yako imeishia hapo
 
CHADEMA watake wasitake wanapaswa waheshimu sheria za nchi, wajue kuwa hakuna aliye juu ya sheria.
kamwe wasitegemee Mataifa ya nje kuhalalisha uovu wa Mbowe na genge lake la kigaidi, badala yake wafuate taratibu za kisheria kupambana.
wakiendelea na mikakati yao eti ya kuichafua Serikali/nchi wataangukia pua, muda huo haupo chini ya awamu hii ya 6.
awamu hii inatumia akili nyingi zaidi kuliko nguvu.
 
Wamesema kesi itakuwa kwa video za simu, itahudhuliwa na watu wasiozidi 4 sababu ya Corona. CCM kwa hili nimewavulia kofia aisee, nyie ni wa-nouma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…