Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Huo moto unatakiwa uuzime mwenyewe sI ajabu hata mgodi huchimbi, unacheza na hisia za watu

You started you have to finish
 
Hapo unaweza kumuhukumu bure mkeo lakini anaweza kuwa ana haki kwa asilimia kubwa kwa maana ishitoshe mali mmechuma wote na amekuwa na wewe bega kwa bega kuhakikisha familia ake inajipata alafu uanze tu kusema una mtotπŸ˜€πŸ˜€
Bro ngoja nikukumbushe siku zote mwanamke anaamini utakufa wewe kabla yake hvo ni vyema aweke mazingira sawa na huo ndio ukweli wake na ndio moyo wake ulupo sasa chagua.
Uendelee kumuamini au uanze kumuamini mama ako mzazi.
 
Katika jambo ambalo linaweza kukufanya uishi kwa amani katika ndoa yako ni pamoja na kuijua saikolojia ya mwanamke mapema sana,hutapata shida,wala hutaona ni mtu wa ajabu,maana usipojua hilo unaweza kufika mahali ukasema huyu mbona yuko hivi,wakati hivyo ndivyo alivyo,ni kuomba tu Mungu akupe hekima ili uishi nae kwa amani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…