Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

Ndoa zinalalamikiwa sana lkn naamini shida sio ndoa, shida ni waliopo ndoani akili zao zipoje ndio kitu muhimu cha kuzingatia.
 
Sikia masta. Na wengine wenye mawazo kama yako. Kunamambo mengine hupaswi kumwambia mwenza wako kama utani. Mambo kama nna mtoto nje au ninataka tutalikiane au nnataka kuoa mke wa pili etc.... just say it when you mean it.

Imargine wewe mkeo aje very serious akwambie mtoto wenu wa kwanza sio wakwako. Kisha badae akwambie i was kidding. Utabaki na message gani moyoni?
 
Swali la kujifikirisha je na yeye amekuambia ANAMILIKI MALI ZENYE THAMANI GANI,maana kuna kipindi hii jinsia inajiona ina HAKI ya kumiliki mali za Mweziye tu,akifa ni mali za familia yake,AKILI MU KICHWA
 
Hayo ndio mavuno ya utani uliofanywa.

Utani huwa una cost sometimes.
 
Hata mimi Mke wangu alishauri hivyo mara tuu alipojua kuna watoto nje. Lkn yeye alitaka niandike majina ya watoto wetu.
 
Na ukiangalia familia nyingi ni mzee anatangulia....
 
Tukisema wanawake Wana akili kuliko wanaume...mnatutukana
Ona sasa...unawezaje kuleta masihara kwenye kitu kama hiki
 
Mzee alikuwa anazingua au Kuna kitu ulikuwa unafanya kilikuwa kinaashiria utakufa mapema
 
Hizi ndoa zenu za utotoni zina taabu!!!
 
Amejuaje utaanza wewe kurudi mavumbini?
 
Piga chini lakini usisahau kujipatia number yake ya simu.
 
Kama ni Mchaga ka chonjo!
Fanya utani kwa mengine lakini siyo kwenye ndoa!
 
Na ukiweka vitu kwenye jina lake akifa yeye kwanza mashemeji zako lazima watakufukuza wwe kwenye hiyo nyumba!!
 
Umeweka kovu kwa moyo wake kisa utani wakoo. Anajiandaa kisaikolojia na tegemea revenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…