Majibu ya wife baada ya kumwambia nina mtoto nje

We ndo tatizo
 
We si unajifanya unafanya PRANK sioo ??🤣🤣komaa nayo hiyo
 
Hapo kwenye mirathi ndio penye tatizo,Kwa hiyo kauli anaamini wewe ndio utatangulia kufa kabla yake na kama unachelewa kufa basi atakuua.
 
😂Mirathi,
Hapo anajua utakufa wewe kwanza umuache yeye😂😂
Na ndio ukweli wenyewe huo, haupingiki.
My take, wanaume inatakiwa tuwe na packge yetu ya maisha, kwa sababu hatuishi umri sawa na wake zetu. Japokuwa nao pia wakiwa wajane hawaishi tena maisha ya furaha, nasikia huwa wanakumbuka na kutamani hadi makofi waliyopigwa na marehemu waume zao.
 
Wanawake wote wanajiona wao ni Mungu kuwa lazima wanaume tuanze kufa.
Sio wanajiona ni obvious ipo hivyo, wanaume tunafanya kazi kwenye mazingira hatarishi sana ndo maana kifo hatuko nacho mbali.
Wanawake wameisoma hiyo scenario, wanatembea na biti tu sasa hivi.
 
As long as mwanamke bado anakutegemea in more than 80% lazima awaze sana ukifa ataishije, akifa yeye kwanza hana cha kuwaza maana atakua katua mzigo 🤣
 
Amejuaje kama utakuta wewe kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…