Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.

Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara

Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji?
20221101_052001.jpg
 
Hii ya Daslamu kuongezeka watu milioni 1 kwa miaka 10 naikataa.
View attachment 2403568

Watu mjini wanazaa kwa mpango ili kuhimili gharama za maisha na kumudu huduma kwa familia na ukizingatia watu wako busy muda wa kuzaa wanatoa wapi? Mikoa yenye chakula cha kutosha ongezeko ni kubwa kwa sababu watu wakishashiba inafuata starehe ya kitandani ndio maana mimba nyingi hupatikana wakati wa mavuno.
 
Watu mjini wanazaa kwa mpango ili kuhimili gharama za maisha na kumudu huduma kwa familia na ukizingatia watu wako busy muda wa kuzaa wanatoa wapi? Mikoa yenye chakula cha kutosha ongezeko ni kubwa kwa sababu watu wakishashiba inafuata starehe ya kitandani ndio maana mimba nyingi hupatikana wakati wa mavuno
Hoja yako mfu kabisaa ,Dar ndoo hawapo busy wenye population kubwa?
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.

Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara

Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Huko watu wana akili kubwa wasingevumilia upuuzi wa kukaa kusubiri watu bila kazi za mkwanja, hawakuvishi hawakuvishi, hawajui na Panadol wala nini. Idadi fake hio.
 
Naona bado tupo kwenye zama za kuamini kuwa ukiwa na watoto wengi ni utajiri, Mungu atunusuru kwa hakika!
 
Naona bado tupo kwenye zama za kuamini kiwa kiwa na watoto wengi ni utajiri, Mungu atunusuru kwa hakika!!!
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.

Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote.
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.

Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara

Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Sasa hizo ni taarifa za idadi ya watu wa Mikoa au wa Majiji?

Punguza upumbavu basi.
 
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.

Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote
Niishie kusema tu asante wewe uliye genius!
 
Back
Top Bottom