Manyara na Kusini unguja ndio mikoa pekee ambayo wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyara na Kusini unguja ndio mikoa pekee ambayo wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Hii sensa ni changa la macho. Mie najua zaidi ya kaya kumi ambazo hazikuhesabiwaTaarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi...
Endelea kushangaaNashangaa Arusha,mbeya na Kilimanjaro hazipo.
I fully concur! Ngoja wapembuzi wafanyie kazi hizi takwimu uone watasemaje. Report population projection zilikuwa zinaonesha Dar kuwa na watu million 7 na ushei.Takwim zimepikwa hizo Tanzania in watu wengi kuliko hiyo idadi iliyotajwa...
Unajiita genius wakati hujui kutofautisha mji na mkoa?Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idad...
Umejibu kwa hekima sana, ukizingatia lugha ya kuhudhi aliyoanza kutumia huyo bwana. Maisha ya leo, watoto sio security tena, haswa wakiwa lundo na bila elimu ya uhakika, au mzee hajawekeza sana kwa watoto.Niishie kusema tu asante wewe uliye genius!
Ona vodafasta huyu, hawezi kutofautisha kati ya mkoa na jiji!Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idad...
Mkuu hapa JF kuna watu wajuaji mno, muhimu ni kuishi kwa kuheshimiana mtu kama The Evil Genius ni wa kumsamehe huenda ni reflection ya makuzi na malezi!!Umejibu kwa hekima sana,
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.
Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote.
Humu kuna watu hawaelewi mambo ya utawala, japo ni madogo sana. Mtu haelewi mji, jiji, tarafa na mkoa vina maana na hadhi gani!Kuna jiji kama Stockholm lina watu 1,500,000 tu jiji kama Gothenburg Göteborg lina 570,000 Tallinn lina watu 250,000 tu , Kwa kifupi Population siyo kigezo pekee cha kuita sehemu jiji
Naona bado tupo kwenye zama za kuamini kiwa kiwa na watoto wengi ni utajiri, Mungu atunusuru kwa hakika!
Nilipoiona kigoma kwenye top ten hyo hata siwez kubisha,hao jamaa wanafyatua sio mchezoWatu mjini wanazaa kwa mpango ili kuhimili gharama za maisha na kumudu huduma kwa familia na ukizingatia watu wako busy muda wa kuzaa wanatoa wapi? Mikoa yenye chakula cha kutosha ongezeko ni kubwa kwa sababu watu wakishashiba inafuata starehe ya kitandani ndio maana mimba nyingi hupatikana wakati wa mavuno.
Good, na kigezo siyo population pekee kuna mambo mengi snMkuu, population ya jiji haihusiani na population ya mkoa. Tabora kama mkoa unaweza kuwa na watu wengi kuliko Mbeya au Arusha lakini wa kazi wake wengi wakawa wanaishi vijijini.
Naunga mkono tunakimbilia 70 saiviTakwim zimepikwa hizo Tanzania in watu wengi kuliko hiyo idadi iliyotajwa...
Naona mashosti mnafarijiana. Nyie kama hamtaki kuzalishwa watoto wengi na waume zenu acheni sisi tuzalishe wake zetu idadi ya watoto tunaotaka. Tusipangiane maisha.Umejibu kwa hekima sana, ukizingatia lugha ya kuhudhi aliyoanza kutumia huyo bwana. Maisha ya leo, watoto sio security tena, haswa wakiwa lundo na bila elimu ya uhakika, au mzee hajawekeza sana kwa watoto.
Mwisho wa siku Bibi na Babu wataishia kulea lundo la wajukuu, huku wakiwa hawana rasilimali za kutosha. Idadi ya jobless, wakora na maskini itaongezeka tu.
Bado akili yako ni fupi kuelewa.Tusidanganyane, utajiri(wealth) sio subjective.
Viko vipimo objective kabisa vya utajiri, watoto sio kipimo kimojawapo cha utajiri.
Hii ni idadi ya watu waliopo mkoa mzima siyo jiji. Hao wa Mwanza 3.6mil ni pamoja na waliopo Magu, Misungwi na UkereweTaarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564